SUPASTAA Mreno, Cristiano Ronaldo, ni mwanasoka anayelipwa fedha
nyingi duniani kwa sasa. Staa huyo anapokea Pauni 15 milioni kwa mwaka
baada ya makato ya kodi na kabla ya malipo ya bonasi nyingine.
Mshahara wake kwa wiki ni Pauni 288,000 akimwacha
kwa mbali mwanasoka aliyesajiliwa kwa uhamisho ghali zaidi duniani kwa
sasa, Gareth Bale ambaye analipwa Pauni 8.3 milioni kwa mwaka.

Makala hii inazungumzia makipa wanaolipwa fedha
nyingi kwa mwaka katika klabu zao na kuweka rekodi. Achana na makipa
kama Joe Hart, David De Gea, Pepe Reina, Hugo Iloris na Salvatore
Sirigu, kuna makipa watano bora wanaovuta mshiko wa nguvu.
5. Victor Valdes - Barcelona

Valdes yumo kwenye tano bora. Kwa mwaka anavuta Pauni 5 milioni kutokana na mkataba wake wa sasa anaoutumikia Nou Camp.
4. Petr Cech - Chelsea
Ni mmoja wa makipa mahiri kabisa katika Ligi Kuu
England kwa muongo uliopita. Kwenye klabu ya Chelsea, kipa huyo wa
kimataifa wa Jamhuri ya Czech analipwa Pauni 5.2 milioni kwa mwaka.
3. Gianluigi Buffon - Juventus
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!