Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » Afya na jamii

Afya na jamii

Written By Unknown on Thursday, 12 September 2013 | Thursday, September 12, 2013

Masuala ya Afya na kinga dhidi ya magonjwa yanahitaji kutiliwa mkazo hasa katika sehemu zinazokumbwa na hali duni ya maisha. Vipindi vya Noa Bongo vinatoa mfano mzuri kuhusu magonjwa hatari zaidi barani Afrika.
Mpango wa uzazi ni mada muhimu katika mfululizo wa vipindi vya Noa Bongo, kwani mada hii inagusia maadili ya jamii na maisha kwa jumla, njia za mpango wa uzazi na pia masuala ya kijinsia -  hasa kuhusu mabadiliko ya kimawazo katika muda wa miongo ya hivi karibuni barani Afrika. Na Noa bongo pia inatambua juhudi za kutupilia mbali baadhi ya imani na tamaduni katika  kupambana na magonjwa kama vile Ukimwi.
Mkazo ulitolewa katika kuimarisha juhudi za kibinafsi  kukabiliana na magonjwa na pia kuimarishwa  njia za kupata habari muhimu kuhusu masuala ya afya. Juhudi au mabadiliko ya kiwango chochote kile huchangia pakubwa juhudi za kuboresha maisha ya familia na jamii kwa jumla, na ndio sababu vipindi vya Noa Bongo vinalenga kukupa fursa kuwa na mtazamo na kuelekeza juhudi za kila mmoja wetu katika kuboresha afya.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi