Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » Hapo zamani za Kale – Hadithi kuhusu Afrika

Hapo zamani za Kale – Hadithi kuhusu Afrika

Written By Unknown on Thursday, 12 September 2013 | Thursday, September 12, 2013

Yaaminika bara la Afrika ndilo chimbuko la mwanadamu. Bara hili limekuwa makaazi ya falme nyingi na pia lililopoteza watu wake wengi kupitia biashara ya watumwa.
Hadithi kuhusu Afrika
Kwa upande mwengine tunaweza kusema asili ya mwanadamu ni Afrika. Hapa ndipo mwanadamu wa kwanza duniani yaamika aliishi. Miaka mingi baadaye, utawala wa kifalme ulianza kukita mizizi, kusambaa na hata kutukuzwa katika bara hili. Historia ya Afrika pia inatupa kumbukumbu ya nyakati za giza kama vile biashara ya watumwa, na utawala wa kikoloni uliotekelezwa na Wazungu.

Hebu sasa tuanze safari yetu kupekua historia ya Bara hili la Afrika na jinsi historia hii inavyochangia maisha ya sasa barani humu. Kama wasemavyo wahenga, “Ili kupata kujua unakokwenda ni lazima ujue unakotoka.”

Hata hivyo haya yasikujalishe kwani hayamo kwenye maandiko na kumbukumbu ya vitabu vya historia. Safari yetu kuhusu historia ya karne nyingi zilizopita barani Afrika, inazunguka katika maisha ya msichana mmoja kwa jina Julie, ambaye pamoja na bibi yake, wanafanya utafiti kuhusu historia ya bara hili.
Vipindi vya "Learning by Ear - Noa bongo Jenga Maisha yako" vinasikika katika lugha sita: Kiingereza, Kifaransa, Kiswahili, Hausa, Kireno na Amharic. Na vinafadhiliwa na wizara ya mambo ya nchi za kigeni ya Ujerumani.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi