Serikali ya Somalia ilimkamata msemaji wa Ahlu Sunna wal-Jamaa (ASWJ) Sheikh Abdiqadir Somow huko Mogadishu Jumapili (tarehe 15 Septemba), RBC ya Somalia iliripoti.
Somow aliitwa katika Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai ambako aliwekwa chini ya ulinzi.
Sababu za kukamatwa kwake hazijajulikana.
ASWJ ilipinga Mkutano wa Kitaifa wa Kupambana na Suala la Siasa Kali Somalia uliomalizika hivi karibuniambako fatwa dhidi ya al-Shabaab ilifanyika kwa maulamaa 160 wa Somalia.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!