Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » BAADA YA HISIA KUHISI KUWA FUTURE KATOSWA KWENYE TOUR YA DRAKE,BASI ALICHO FANYA DRAKE NDO HIKI

BAADA YA HISIA KUHISI KUWA FUTURE KATOSWA KWENYE TOUR YA DRAKE,BASI ALICHO FANYA DRAKE NDO HIKI

Written By Unknown on Sunday, 20 October 2013 | Sunday, October 20, 2013


Future msanii ambaye ni boyfriend wa Ciara, zilitoka taarifa kwamba ametoswa kwenye tour ya Drake iliyopewa jina la “Would You Like a Tour”. Kabla ya kutolewa ilitangazwa kwamba atakuwepo kwenye hiyo tour. Future alichukua hatua za kufungua mashataka akitaka kulipwa fidia dola 1.5 million baada ya kutolewa.
Lakini kwenye show ya kwanza ya tour hiyo ambayo ilifanyika huko Pittsburgh, mashabiki walishuhudia show ya Future kitu ambacho kina tafsiriwa kwamba Drake amemrudisha Future kwenye list ya wasanii watakaofanya tour hiyo. Unaambiwa Future angekosa ku-make pesa sana kama angeikosa hii tour kwasababu ina show za kutosha ambazo zinamuigizia pesa. Hiyo pia ilikuwa sababu kubwa ya kufungua mashataka ya kudai fidia ya dola 1.5 million baada ya kutangazwa kwamba ametolewa kwenye tour
future-drake
.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi