Home »
majuu
» SIONI ALBUM NYINGINE KALI ZAIDI YA HIYI YA DJ KHALED MWAKA HUU WA 2013:R.Ross
SIONI ALBUM NYINGINE KALI ZAIDI YA HIYI YA DJ KHALED MWAKA HUU WA 2013:R.Ross
Rapper
na mwanzilishi wa record lebel ya MMG Amesema anakubali na kuamini kwa
asilimia 100 kuwa album mpya ya dj mkubwa duniani Dj Khaled ndio album
bora mwaka huu.
 |
| . |
Sijui kama ndio mashavu au promo ya album ya mshikaji
wake ila Rozay ambaye pia ana album mpya inayokuja hivi karibuni
amejikuta akifunguka haya kuhusu cd ya mwenzake.
 |
| . |
Hii ni album ya saba ya Dj Khaled initwa Suffering from Success na ina nyimbo 14 na sauti za stars wakubwa kama Future, Ace Hood, Diddy, Meek Mill, Rick Ross, T.I., Swizz Beatz, 2 Chainz, French Montana, Big Sean, Timbaland, Plies, Lil Wayne, Chris Brown, Wiz Khalifa, Wale, Nicki Minaj, Drake, Mavado, J. Cole, Akon, Anthony Hamilton, Jadakiss, Bas, John Legend, Scarface, Birdman, Jeremih, Vado na Kat Dahlia.
 |
| . |
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!