Mkutano mkuu wamwaka wa Shirika la fedha duniani IMF |
Viongozi wa taasisi za fedha duniani wametoa wito kwa mamlaka
ya benki kuu nchini Marekani kuwa makini wakati wa kupunguza bajeti
zao, wakati huu nchi zinazoendelea zikipambana na msukosuko wa fedha.
Mataifa Mbalimbali kwenye mkutano wa mwaka wa Shirika la Fedha
Duniani na Benki ya Dunia yamesema kuwa matarajio benki kuu ya Marekani
kubanwa tayari ayameongeza changamoto ya uchumi wao, na hivyo kuchochea
kuhamishwa kwa kiasi kikubwa cha fedha na kushusha thamani ya fedha yao.
Kamati ya maamuzi ya benki ya dunia, shirika la fedha na kamati ya fedha, zimeionya mamlaka ya benki kuu ya Marekani na benki kuu zingine zenye uchumi mkubwa wanapoanza kurejesha kawaida viwango vyao vya chini vya riba na kurahisisha sera za fedha.
Uchumi wa Marekani na dunia unakabiliwa na viwango vya juu vya riba jambo linaloshusha imani na kupunguza kasi ya ukuaji wa uchumi ikiwa bunge la Marekani halitaongeza kiasi cha dola trillion 16.7 za mkopo.
Hazina ya Marekani imesema kwamba itaishiwa fedha za kutosha kulipa madeni yote ya nchi hiyo mapema mwezi Oktoba 17 bila kuongeza madeni.

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!