Rais wa Marekani, Barack Obama |
Hapo jana wabunge wa Congress walipitisha kwa kishindo
mapendekezo ya chama cha Democrats na yale ya Republican na mapema leo
asubuhi bunge la Seneti na lenyewe likapigia kura muswada huo ambao
wabunge 256 waliunga mkono mkono.
Muswada huo sasa unatarajiwa kuwasilishwa kwa rais Barack Obama ambaye amesema atautia saini mara moja ili kuona shughuli za serikali zikianza haraka baada ya kuwa zimesimama kwa muda kutokana na kukosekana kwa fedha.
Kupitishwa kwa muswada huo kunatoa nafasi ya kufunguliwa kwa ofisi za serikali na kujiendesha hadi tarehe 15 january mwaka 2014 jambo ambalo hatahivyo linaonekana kuwa bado halijatatua tatizo.
Katika hatua nyingine rais Barack Obama amewapongeza wabunge wa Republicans na wale wa chama chake kwa kufikia makubaliano ili kuruhusu Serikali kujiendesha.

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!