Kocha wa zamani wa
Senegal Bruno Metsu, ambaye aliiongoza nchi hiyo kufika robo fainali ya
kombe la dunia mwaka 2002, amefariki dunia akiwa na miaka 59, vyombo vya
habari nchini Ufaransa vimeripoti leo hii.Gazeti la Local La Voix du Nord, sports daily L'Equipe na France Football magazine wameripoti kwamba Metsu, ambaye alistaafu kazi ya ukocha akiwa na klabu ya Al Wasl ya Dubai mwaka uliopita ili kupambana na kansa ya utumbo, alifariki dunia usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Dunkirk kaskazini mwa France.
Metsu, ambaye alijulikana kama "The White Sorcerer", pia aliwahi kuifundisha Guinea, Qatar, na klabu kadhaa huko Uarabuni.
![]() |
| . |




0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!