Nimezaliwa Dar es salaam.. Mambo
kibao nimepitia, ukichangia mazingira niliyokulia nimejifunza na kuona
mambo mengi.. bangi ,pombe hata ..sigara hayo ni mambo nimeona watu wangu
wengi hata wa karibu wakitumia mfano mzuri alikua..baba Angu mzazi
akitumia ( R.I.P) ila kuhusu Unga Ni moja ya vitu nimekua nikiogopa sana
maana hakuna hata mtu yoyote wa karibu yangu niliyeona akitumia, zaidi
nilichoona ni wote waliotumia hamna hata mmoja kati
yao alietumia hayo madawa akafanikiwa.. nachohitaji kuwajulisha watu wangu wote ni kwamba imani yenu kwangu kuhusu kijitambua isishuke kwa chochote mtakaacho sikia ila zote zinaweza kua FUnunu tu! Stay tune.

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!