Habari mpya ni kwamba baada ya kuachana na boyfriend wake bilionea wa Russia Vladimir Doronin, Naomi Campbell ameonekana kwenye mitaa ya Paris akijiachia na bilionea wa Nigeria Kola Aluko ambaye ni tajiri wa mafuta, gesi na biashara ya usafiri wa anga.
Kutokana na historia ya Naomi Campbell ya ku-date wanaume wenye pesa nyingi, vyanzo vingi vya habari vinasema huenda Naomi akawa na mahusiano ya kimapenzi na bilionea huyu wa Nigeria.
Naomi na boyfriend wake wa zamani ambaye ni bilionea kutoka Russia |
Hizi ni picha za Naomi Campbell alivyotembelea Tanzania |
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!