Nicki Minaj ni msanii asiye na aibu ya kusema mambo gani anapenda kwenye maisha yake na yupo tayari kufanya nini kuyapata. Hivi karibuni alikuwa kwenye duka la K Mart akizindua nguo zake na aliwasili na gari yake mpya iliyo tengenezwa na kuboreshwa kwa matakwa yake, Yes ndio hio Pink lamborghini Custom made for Minaj.
Picha Zaidi Ziko Hapa.















0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!