Msanii wa Bongo Fleva
Diamond ambae alikuwa China kwa muda wa wiki mbili akijipanga kwa ajili ya
show yake aliyofanya weekend hii. Show imefanyika Guangzhou ndani ya
Rich Club na Kama kawaidia Diamond Plutinumz alifanya show nzuri na fans
waliridhika.




0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!