HALLOW admin na wadau wengine, naombeni mnisaidie mdogo wenu, ndugu yenu, nilikuwa na mchumba wangu ambae teyari ameshanitolea mahali, kipindi cha mwanzo alikuwa hana tabia ya kunifanya kinyume na maumbile, yani hajawahi kabisa kuniambia ananitamani huku nyuma.
Lakini hivi karibuni kila tukikutana nae, anataka anifanye, siku ya kwanza alinifanya kwa nguvu, kusema kweli niliumia sana, yani nilimia dada violet, alipomaliza alinishukuru sana, na kesho yake akanipa na zawadi, (ni kama ananibembeleza) nilimfokea sana, na alikuwa kimya.
Mwezi wa tatu akataka tena kunifanya kwa nguvu, nikamkatalia nikavaa nguo zangu nikaondoka kwake, tukanyamaziana kama mwezi mmoja badae akaniomba msamaha nikamsamehe kwakuwa nampenda sana dada, na nikajua keshajirekebisha, baada ya kupatana tukaendelea kufanya tena.
Akalazimisha huku kanibana mikono kwa nguvu, akaipitisha, niliumia sana, yeye alipomaliza akatoa, akaanza kutubu upya, Nililia sana,.....
Sasa ndio kwanza tunataka kuanza vikao vya harusi, kwa style hii nitaweza kweli dada?
WADAU NAOMBENI MSAADA WENU!!!
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!