Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » RAY C "UZURI WANGU UPO NDANI YA MAPAJA YANGU NA SIHANGAIKI NA DAWA ZA KICHINA"

RAY C "UZURI WANGU UPO NDANI YA MAPAJA YANGU NA SIHANGAIKI NA DAWA ZA KICHINA"

Written By Unknown on Friday, 11 October 2013 | Friday, October 11, 2013

Huyu  ni  Msanii  mkongwe  maarufu  kwa  jina  la  Ray  C ambaye  leo  hii  ameamua  kuyanadi  mapaja  yake  akidai  kwamba  hiyo  ndo  sehemu  muhimu  ya  mwili  wake...Kila  mwanamke  ana  mvuto  wake, wapo  wanaojivunia  nyuso  zao  zenye  macho  yaliyoumbwa  yakaumbika, nyuso  zisizo  na  chunusi  wala  aina  yoyote  ya  kovu...Wapo  pia  wanaojivunia  makalio  yao  na  sote  tumekuwa  tukishuhudia  jitihada  mbali mbali  za  akinadada  za  kujitengenezea  makalio  ya  bandia ( ya  kichina ) ili  kujiongezea  mvuto  kwa  wanaume.

Hali  ni  tofauti  kidogo  kwa  msanii Ray C.Yeye  anaamini  kwamba  mapaja ndo  kila  kitu  na  kwamba  ni  hicho kigezo  muhimu  kinachoangaliwa  na  wanaume  wengi wa  siku  hizi...


"Nani  asiyejua  kwamba  kuna  makalio  ya  kichina? Umewahi  sikia  wapi  mapaja  ya  kichina?..Haya  tunayo  wachache  ambao  tumejaliwa  na  muumba  wetu".Hii  ni  kauli  ya  Ray  C alipokuwa  akipiga  stori  na  mpekuzi  wetu.

Akongelea kuhusu  afya  yake  kwa  ujumla, Ray  C amewashukuru  kwa  mara  nyingine  watanzania  wote  waliokuwa  naye  wakati  wa  akiwa  mgonjwa."Sitachoka  kuwashukuru  watanzania  wenzangu  ambao  walikuwa  pamoja  nami  pindi  nikiwa  mgonjwa. Nguvu  zangu  kwa  sasa  nimezielekeza  katika  kuiimarisha  afya  yangu  na  ndo  maana  unaniona  niko  hivi  kwa  sasa.


"Haikuwa  kazi  nyepesi  kuirejesha  afya  yangu  ndani  ya  muda  mfupi.Nilidhani  mapaja  yangu  hayatarejea  tena  katika  hali  yake.Mungu  ni  mwaminifu, kila  kitu  kiko  vizuri  kama  nilivyokuwa  nataka"..Ray  C

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi