MWANARIADHA nyota wa Uingereza, Mo Farah amekanusha uvumi kuwa anatarajia kukimbia mbio za marathon kwa muda wa chini ya saa mbili. Kauli hiyo imekuja kufuatia kuzagaa kwa uvumi kuwa Farah ambaye ni bingwa mara mbili wa michuano ya olimpiki amepania kuweka rekodi ya aina yake katika mbio za London Marathon zitakazofanyika mwakani kwa kutumia muda huo. Akihojiwa Farah mwenye umri wa miaka 30 amedai kuwa hakutoa kauli hiyo ya kwa ana mpango wa kukimbi marathon chini ya saambili, lengo lake kubwa ni kukimbia mashindano hayo ya mwakani na kufanya vyema kadiri anavyoweza. Mwezi uliopita mwanariadha Wilson Kipsang wa Kenya alivunja rekodi ya dunia ya marathon kwa sekunde 15 wakati aliposhinda mbio za Berlin kwa kutumia muda wa saa mbili dakika tatu na sekunde 23.
Home »
michezo ulaya
» SIWEZI KUKIMBIA MBIO ZA MARATHON KWA SAA MOJA:Mo Farah
SIWEZI KUKIMBIA MBIO ZA MARATHON KWA SAA MOJA:Mo Farah
Written By Unknown on Wednesday, 16 October 2013 | Wednesday, October 16, 2013
MWANARIADHA nyota wa Uingereza, Mo Farah amekanusha uvumi kuwa anatarajia kukimbia mbio za marathon kwa muda wa chini ya saa mbili. Kauli hiyo imekuja kufuatia kuzagaa kwa uvumi kuwa Farah ambaye ni bingwa mara mbili wa michuano ya olimpiki amepania kuweka rekodi ya aina yake katika mbio za London Marathon zitakazofanyika mwakani kwa kutumia muda huo. Akihojiwa Farah mwenye umri wa miaka 30 amedai kuwa hakutoa kauli hiyo ya kwa ana mpango wa kukimbi marathon chini ya saambili, lengo lake kubwa ni kukimbia mashindano hayo ya mwakani na kufanya vyema kadiri anavyoweza. Mwezi uliopita mwanariadha Wilson Kipsang wa Kenya alivunja rekodi ya dunia ya marathon kwa sekunde 15 wakati aliposhinda mbio za Berlin kwa kutumia muda wa saa mbili dakika tatu na sekunde 23.
Labels:
michezo ulaya
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!