Home »
majuu
» TAZAMA VILE ALIVYO SHEHEREKEA SIKU YAKE YAKUZALIWA MWANAMUZIKI ASHANTI
TAZAMA VILE ALIVYO SHEHEREKEA SIKU YAKE YAKUZALIWA MWANAMUZIKI ASHANTI
Msanii aliyekuwa chini ya record lebel kubwa duniani 'Murder Inc'
amesherekea siku yake ya kuzaliwa na marafiki wake wa karibu weekend
hii. Ashanti amefikisha miaka 33 na mara ya mwisho amezungumza kuhusu
muziki wake alisema hajafeli baada ya kutengana na Murder Inc ila ana
fanya bidii za kurudi na solo project, anacho hitaji ni muda.
Mwezi ujao November 9 anatoa album yake mpya na ya tano inayoitwa 'BraveHeart' .
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!