Written By Unknown on Friday, 8 November 2013 | Friday, November 08, 2013
Mwanamuziki,
Rihanna mnamo siku ya Alhamisi alikuwa Ufukweni kwa ajili ya kupiga
picha mbalimbali alipokuwa mapumzikoni ndani ya Barbados baada ya ziara
ya yake ya Dunia ya Diamonds.
Alionyesha tattoos zake nyingi kupitia picha hizo...
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!