Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , » MI SINA BIFU NA SONY WALA FIZZO NA WALA SINTOKUFA NAINGIA NAO BIFU:Lolilo

MI SINA BIFU NA SONY WALA FIZZO NA WALA SINTOKUFA NAINGIA NAO BIFU:Lolilo

Written By Unknown on Wednesday, 13 November 2013 | Wednesday, November 13, 2013

Baada ya kimya kirefu na kugubikwa na gumzo kibao,Star wa Nkarira na Super Glue namzungumzia Lolilo jana kwenye kipindi maridadi nchini Burundi kinacho ongozwa na Mh ISMAIL NIYOMKURU kipindi ambacho kinakujia kila siku za kazi nikimaanisha jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa mbili asubuhi saa za Bujumbura,hadi saa tatu.
Kwenye Exclusif Interview ambayo mgeni rasmi alikua ni star huyu ambae ni mwanamuzikia ambae anapendwa na raia wengi na anae pendwa sana nje ya nchi na rafiki wa karibu sana na nyota wa Afrika mashariki Diamond,kwenye mahojiano hayo na  Mh ISMAIL NIYONKURU aliweza kumdunga maswali mengi ila kuna swali lilizuwa utata mkubwa swali la kuhusiana kuwa yeye aliwai kuwa na bifu na rafiki wa karibu na Fizzo jama ambae anajulikana kama Sony ila Lolilo alikanusha madai hayo nakusema kuwa hana bifu na yeye na wala hatokufa anaingia kwenye bifu na huyo jamaa,ila Mh ISMAIL NIYONKURU aliweza kumuomba ruhusa hapo hapo bila kwenda mbali Lolilo amruhusu aweze kumpigia sim moja kwa moja kwenye kipindi Lolilo alijibu nakusema hamna shida mpigiye,baadae dakika chache zijazo sim ya Sony iliita nakuanza kuulizwa na Mh ISMAIL NIYONKURU,swali la kwanza alilo ulizwa Sony ni kuwa anabifu kweli na Lolilo?

Mh ISMAIL NIYONKURU:Hello!Sony uko live kwenye kipindi niko hapa na Lolilo,nilikua nataka kufaham kuliwai kuwa na taarifa hivi karibuni kuwa mliwai kutaka kushwana na Lolilo nyumbani kwake Nyakabiga hadi kufikia kuokota vitu kutaka kuvimpiga LOLILO,naskia mlikokotana kwenye mashati ni kweli habari hizo unaweza ukatufungikia?
Sony:Ni kweli mi niliwahi kwenda kwake kwa Lolilo,kwanza watu wajue Lolilo ni jamaa yangu ni kaka yangu ni ndugu yangu ila nashangaa ile siku sijui ni kitu gani kilikua kimemkamata,tulianza kama utani ila baadae tukafikia kushikana mashati na tulikufa mambo ya kawaida yani mambo ya kijinga kabisa.
Lolilo:Hello!Sony...unanisikia ....
Sony:Nakuskia...Lolilo
Lolilo:Naomba Kaka kama yale ya ile siku yalitokea please! naomba tusameeane naomba turudiane kama zamani tusiwe na ubaya kati yetu kama yale yalitokea tuyasahau kaka!!!sijui kama umenisamee?
Sony:Nimekusamee hamna tatizo kaka!!!
Ilionekana Mhariri ISMAIL NIYONKURU alifanya kitendo cha busara kwa kuwakutanisha moja kwa moja kwenye kipindi kati ya huyo star na huyo jamaa Sony
Ila baadae kukaja kingine kikwazo chakuwa huyu jamaa ana bifu ambayo hiyo yafaamika bayana kati yake na star wa Aller retour namzungumzia Mugani Desire alimaarufu kama BURUNDIANO
ila Lolilo alionekana kuwa mpole nakutowa maneno ya busara moja kwa moja kwenye kipindi nakusema kuwa yeye hana bifu na Fizzo BURUNDIANO na kuwaonesha kama yeye hana ubaya wowote nae akifika tuu Bujumbura atafanya nae ngoma
"Mi sina bifu na Fizzo jamani japo watu wengi wana hisi hivo mi sina bifu na yeye na kwa kuwaonesha kama mimi ni mtu wa amani akija tuu Fizzo hapa nchini ntafanya nae Track ndo mtaamini kama sina bifu na yeye"alisema Lolilo
Fahamu zaidi kuwa hawa majama wawili Fizzo na Lolilo ni wanamuziki mahasimu wakubwa sana hapa nchini huku chanzo halisi hakijawai bainika kilicho tuma hawa majama wakachukiana hadi kuwa kama chui na paka na hapo zamani walikuwa kama wandugu waliwai kufanya hata kazi moja iitwayo "Yacurira"ambayo alionekana Fizzo kumpa shavu Lolilo.
......................................why mazeeeeeeeeeee mnachukiana hivo?
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi