Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » RAFIKI YANGU WA KIKE ANANISHAWISHI NIINGIE KATIKA MAPENZI YA JINSIA MOJA (USAGAJI)

RAFIKI YANGU WA KIKE ANANISHAWISHI NIINGIE KATIKA MAPENZI YA JINSIA MOJA (USAGAJI)

Written By Unknown on Saturday, 9 November 2013 | Saturday, November 09, 2013

 
Mimi ni Msichana wa makamo tu nimeolewa miaka miwili sasa na nina watoto wawili,nafanya kazi kwenye kampuni moja kubwa,hivi karibuni nimekuwa na rafikia ambae tuna fanya nae kazi hapa ofisini ambae nimekuwa nikimwelezea matatizo yangu na mme wangu kuwa aniridhishi kitandani...cha ajabu aliniambia kama ninataka kuridhika bora niingie katika usagaji...cha ajabu aliniweka wazi kabisa kuwa yeye huwa anasagwa na huwa anasikia raha sana kiasi wanaume si deal kwake.Toka aniambie hivyo kila akija ofisini kwangu ananibusu na kunikumbatia kwa nguvu...Juzi alitaka kunivua chupi nikakataaa kabisa kwani bado hainiingiii akilini kufanya mchezo huo na msichana mwenzangu...japo kwa upande mwingine natamani kujaribu...Naomba ushauri nifanyaje...No matusi pliz

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi