Leo asubuhi kwenye kipindi kinacho ongozwa na Mh ISMAIL NIYONKURU cha CHANGAMKA SHOW uliweza kumsikiliza Star wa soka kutoka hapa nchini ambae ni goli kipa bora wa Afrika Mashariki kwenye michuano ya CECAFA mwaka uliyo pita na goli kipa namba moja wa timu ya taifa na kutoka kwenye klabu ya FLAMBEAU DE L EST Arakaza Mc Artur akizingumzia ajalia ambayo amepata juzi kwenye mazowezi ya timu ya taifa
Kipa huyu amepatwa na ajali hiyo kukiwa kunasalia siku zisizo zidi 20 kutaka waingie kambini,leo Mh ISMAIL NIYONKURU kama muongozaji wa kipindi hicho alimtafuta kwenye njia ya sim nakuweza kuchonga nae kuhusiana na tatizo hilo ambalo amepata baada ya jana ya Mh ISMAIL NIYONKURU kwenda kumuona kwake na kama njia moja wapo yakumpa pole.
Goli kipa huyo alionekana kuhuzunishwa na kile ambacho anacho zidi kukiona hadi sasa serikali haimjali kwa lolote hata kupewa matibabu ya kwanza hajapewa ili kujuwa jeraha hilo litadumu kwa kiasi gani na huku kukisalia siku chache waelekee kwenye michuano ya CECAFA huko kenya
Mh ISMAIL NIYONKURU alimkuta kipa huyo kwake hapo jana usiku akiwa kwenye hali ya furaha huku akiweka weka balafu kwenye huyo mguu wake wa kusoto kwenye goti.
Alipo ulizwa kwenye kipindi kuhusu jeraha hilo anavyoendelea kujiskia kuamkia leo alijibu nakusema bado nazidi kuweka tuu balafu nasubiri kama ntaletewa mganga wakunitunza.
Arthur alikuwa katika kikosi cha wachezaji 11 walio anza kwenye match ya BURUNDI na SUDAN ambapo alifanya kazi ya muhimu ambayo kila mrundi hatokufa ameisahau kwenye historia ya mpira wa Burundi ambapo alitowa pena mbili mfululizo ambazo zili iwezesha Burundi kukata tiketi ya kuelekea kwenye michuano ya CHAN 2014 huko Afrika ya kusini.
Mh ISMAIL NIYONKURU alipo mtafuta mwingine mwanasoka wa timu ya taifa kujibu kuhusiana na hali hii ambayo imeikumba timu ya taifa.
LUCIO kutoka kwenye timu ya LLB alionekana kuwa mwenye uzini mkubwa saana na hali ya kipa huyo wa timu ya taifa nakusema ni kipa ambae anamtegemea sana kwenye timu ya taifa na anawaomba warundi wazidi kumuombea kipa huyo aweze kupona
ismilniyonkuru.info inakupa pole na inazidi kukuombea upone na urudi kwenye mazowezi na timu yetu ya taifa wewe ni tegemeo kubwa

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!