Sio
Twitter, Google+ wala LinkedIn. Ni kampuni ambayo watu wengi Magharibi
hawaifahamu. Ipo hivi, na ni kwamba, inaleta mabadiliko, huku kampuni ya
nchini China iitwayo Tencent ikionekana kukua kwa kasi sambamba na
huduma yake ya meseji ya WeChat…
Wiki iliyopita, Facebook, ambaye kwa sasa ndiye mfalme wa mitandao ya jamii, ilikiri kuwa inapoteza watumiaji wake hasa vijana, huku kasi ya kuongezeka wateja wake watumiaji kwa mwezi ikionekana kwenda taratibu kwa 18% mwaka hadi mwaka.
Hii inatokana na ukweli kwamba Facebook na mitandao mengine ya kijamii toka Magharibi kuwa zimepigwa marufuku ndani ya China. By contrast, Tencent hivi karibuni ilitangaza kwamba watumiaji wa WeChat wameongezeka mara tatu zaidi ya watumiaji millioni 85 wa mwaka jana.

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!