Hatimaye mwanadada Jacqueline Wolper ameamua kuweka
wazi kilichotokea mpaka kuamua kubadili Dini yake ya Uislamu na kurudi
kwenye ukristo tena.
Kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii
mwanadada huyu wa bongo movies ametoa ujumbe ufuatao kwa mashabiki wake.
“…mambo mashabiki zangu.sikua na njia nyingne yakulikwepa
hili nanaamini kua kwa wale mashabiki zangu waislam amtomaind maana akuna
mtu wakumsikiliza chini ya hanga zaidi yawazazi so imenipasa kurudi
kanisani kwa kauli ya wazazi wangu.naamin kama aujaolewa ata uwe na miaka
mingap bado unatakiwa kua chin ya imaya ya wazazi ata ukifa ujue
unazikwaje na mimi ni binadam sijui saa wala dakika. muhm nikuwajuza
nakuwaelewesha mashabk zangu stak maswal nawapenda wote…”
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!