Ijumaa usiku (December 20), Beyonce alijichanganya na watu
katika duka kubwa linalouza album yake mpya linaloitwa Wal-Mart na
kufanya manunuzi kama watu wengine wa kawaida huku akisukuma ‘cart’.
Queen Bey alisimama na kutangaza kuwa kila mtu aliyekuwa ndani ya duka hilo akifanya manunuzi apewe kadi ya zawadi yenye thamani ya $ 50. Meneja wa duka hilo kubwa lililokubali kuuza album ya Beyonce amesema kuwa mwimbaji huyo wa ‘Drunk in Love’ aliwanunulia zawadi watu 750, iliyofikia jumla ya $37,500 sawa na shilingi za kitanzania milioni 60.
Kuipa deal kampuni ya Wal-Mart kuuza albam yake na kuwatembelea kama mnunuzi wa kawaida ni kutuma ujumbe kwa makampuni ya Amazon na Target yaliyotangaza kutojihusisha na uuzaji wa albam mpya ya Beyonce.
Amazon.com na Wal-Mart wao walitangaza kutojihusisha na uuzaji wa albam ya Beyonce ambayo ilitoka kama surprise December 13.
Kwa kuwa Wal-Mart ni washindani wakubwa wa Amazon.com na Target, Beyonce amewachana wazi kuwa ‘kataa kuuza album yangu, nimpe dili mshindani wako akusumbue kibiashara’.
Album hiyo mpya ya Beyonce aliyoipa jina lake, imepata mafanikio makubwa na hadi sasa zaidi ya nakala million 1 zimeshauzwa ikiwa ni wiki moja na nusu tangu iingie sokoni.

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!