Muigizaji na director wa movie maarufu kutoka Nigeria Desmond Elliot ameingia rasmi kwenye uwanja wa siasa na hivi sasa ana kadi ya chama cha Labour Party pamoja na plan za kugombania ubunge kwenye uchaguzi wa mwaka 2015.
Desmond amesema ameamua kuigia kwenye siasa ili awe mjumbe wa mabadiliko na hivi karibuni ataanza kazi za kisiasa.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!