Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » WAZUNGU UZUNGUNI,TAZAMA HIYI NDOWA ILIYO FUNGWA HUKU BIBI HARUSI NA BWANA HARUSI WAKIWA WATUPU

WAZUNGU UZUNGUNI,TAZAMA HIYI NDOWA ILIYO FUNGWA HUKU BIBI HARUSI NA BWANA HARUSI WAKIWA WATUPU

Written By Unknown on Sunday, 22 December 2013 | Sunday, December 22, 2013

Wanandoa wawili walikamtwa kwenye siku ya harusi yao baada ya kufunga ndoa wakiwa uchi wa mnyama mtaani katika kile kilichosemekana ni kampeni yao kupinga sheria ya San Francisco inayokataza watu kuwa watupu.

Bibi harusi Gypsy Taub, 44, na bwana harusi Jamyz Smith, 20 walikamatwa ndani ya dakika chache baada ya kubadilishana viapo.

Kwa mujibu wa Taub:  'Hii ni katika kupinga sheria ya utupu, najua watu wa wapo nyuma yangu.'

Harusi hiyo iliendeshwa na mwanaharakati anayetetea kufutwa kwa sheria ya utupu aitwaye George Davis, anayetoka kwenye Kanisa la Universal Life.

Mara baada ya kusoma kutoka kwenye kitabu chake Kitakafu, kinachoitwa 'Erotic Art,' Davis alisema: 'Natangaza kuwa ninyi ni mke na mume.'

'Watu husherehekea kwa njia yoyote wanayojisikia kuwa poa nayo, mmoja kati ya watu waliowatakia mema wanandoa hao alisema, akiongeza: 'Ni kitu kizuri wanachokifanya. hakuna aliyeumizwa. hakuana aliyeathiriwa.'

Angalia picha hapo chini....






TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi