HABARI za ndani kutoka Hispania zinadai upo uwezekano wa staa wa
Barcelona, Lionel Messi kuondoka klabuni hapo baada ya kumalizika kwa
fainali za Kombe la Dunia mwakani nchini Brazil.
Manchester City inaongoza mbio za kumwania Messi
huku ikidaiwa Rais wa Barcelona, Sandro Rosell anaamini licha ya
mafanikio ya Barca na Messi, huu ni wakati sahihi wa kumpata staa mpya
klabuni.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!