Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » HATIMAYE C.BROWN AACHIA WIMBO WAKE MPYA WA "Wild Cat",NAKUZUNGUMZIA VITU ANAVYO VIPENDA ZAIDI "WAREMBO NA MARIJUANA"

HATIMAYE C.BROWN AACHIA WIMBO WAKE MPYA WA "Wild Cat",NAKUZUNGUMZIA VITU ANAVYO VIPENDA ZAIDI "WAREMBO NA MARIJUANA"

Written By Unknown on Thursday, 26 December 2013 | Thursday, December 26, 2013

Wimbo mpya wa Chris Brown unaoitwa ‘Wild Cat’ umesambaa kwenye mitandao katika kipindi hiki cha Christmas.
Katika wimbo huo wa taratibu uliotayarishwa Drumma Boy, Chris amegusia vitu viwili anavyovipenda ambavyo ni wasichana na marijuana.
Katika wimbo Chris anasikika akiimba:
“You said that you ain't smoke in a while baby/ So we gon' f**k and I'mma roll up/ It's getting loud, blowing on that loud girl/ Baby I'mma work you out girl, work you out girl/ I love you, Mary Jane.”
Haijajulikana kama wimbo huo utakuwa katika album yake inayoitwa ‘X’ inayosubiwa kwa hamu na fans wake.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi