Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » JARIDA LA VIBE LAMPA ZAIDI UMMARUFU DRAKE KWA KUMUWEKA KWENYE UKURASA WA KWANZA

JARIDA LA VIBE LAMPA ZAIDI UMMARUFU DRAKE KWA KUMUWEKA KWENYE UKURASA WA KWANZA

Written By Unknown on Tuesday, 24 December 2013 | Tuesday, December 24, 2013

"Inakuaje mtu huyu anaruhusiwa kuimba nyimbo kuhusu mtaa ambao hata hajawahi kuishi na mimi niliye pitia na kukua kwenye huo mtaa siwezi kuimba kuhusu huo mtaa, watu hawapendi mtu kuwa juu yao ndio maana aliye
juu anachukiwa, ile hali ya kukubali vipaji na mawazo mapya haipo tena na watu hawakubali ata kikiwa kitu kizuri kitapondwa tu"
Ni maneno ya rapper Drake kwenye mahojiano yake na jarida la Vibe kuhusu mashindano kwenye muziki nchini Marekani, Toleo hili linatoka January mwaka 2014. Mambo mengi aliyozungumza Drake ni kuhusu muziki na jinsi rapper kama yeye alivyo kuja kuwa na album bora ya mwaka 2013 "Nothing Was The Same".

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi