Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , » SHERIA YA KUWATOZA FAINI WATEJA WA MAKAHABA YAPITISHWA

SHERIA YA KUWATOZA FAINI WATEJA WA MAKAHABA YAPITISHWA

Written By Unknown on Thursday, 5 December 2013 | Thursday, December 05, 2013


Mnamo siku ya Jumatano watunga sheria nchini Ufaransa walipitisha muswada ambao utawafanya wateja wa makahaba kutozwa faini kuanzia kiasi cha €1 500.

Sheria ya kupinga ukahaba ilipitishwa na mkutano mkuu ambapo Manaibu 268 wakipiga kura ya kukubali, 138 walipinga na 79 hawakupiga.

Sheria hiyo ambayo kwa sasa inahitaji kukubaliwa na Bunge la nchi hiyo, imekuja mara baada ya kupitishwa nchini Sweden ambapo kwa sasa inatumika ambapo wateja wa makahaba hutozwa faini kwenye nchi hiyo katika kile kinachoonekana kutaka kuitokomeza taaluma hiyo kongwe.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi