Rais wa Marekani
Barack Obama mnamo siku ya Jumatano alikiri kuwa alikatazwa kutotumia
simu aina ya iPhone kwa sababu za kiusalama, hii ilikuja kipindi ambacho
alikuwa akifafanua ni kwa nini wakati mwengine huonekana akitumia simu
kubwa aina ya Blackberry.
“Siruhusiwi kwa sababu za kiusalama kuwa na iPhone,” Obama alilieleza kundi la vijana ndani ya White House kwenye tukio la kuhamasisha sheria ya kujali afya.
“Siruhusiwi kwa sababu za kiusalama kuwa na iPhone,” Obama alilieleza kundi la vijana ndani ya White House kwenye tukio la kuhamasisha sheria ya kujali afya.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!