Diamond amerudi kwao Tandale kwenye kituo cha Al Madina kilichopo 
Tandale Yemen kuwapa watoto zawadi za Christmas na kupata nao chakula 
cha mchana.
Hizi hapa ni picha jinsi mambo yalivyokuwa huko Tandale Al Madina.
Wiki iliyopita Diamond alienda kwenye kituo kilichopo Buguruni Malapa na kesho Jumanne ataenda Kigogo kwenye kituo cha New Life.
Baada ya kutoa zawadi za Christmas kule Buguruni alisema kwamba 
ataendelea kutoa zawadi nyingine kwenye vituo mbalimbali na 
anawakaribisha watu wengine waungane naye kuwapa watoto zawadi kwenye 
msimu huu wa sikukuu.
Zawadi hizo zinaambatana na mialiko kwa watoto hao kwenda kwenye show
 yake maalum kwa ajili ya watoto itakayofanyika siku ya Christmas pale 
Leaders Club.Hizi hapa ni picha jinsi mambo yalivyokuwa huko Tandale Al Madina.



0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!