Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , » BAADA YA HAWA WANAMUZIKI WA BURUNDI KAMA BLACK G,KEBBY KUSIKIKA KWENYE RADIO YA RFI SASA ZAMU YA KOO-K

BAADA YA HAWA WANAMUZIKI WA BURUNDI KAMA BLACK G,KEBBY KUSIKIKA KWENYE RADIO YA RFI SASA ZAMU YA KOO-K

Written By Unknown on Friday, 17 January 2014 | Friday, January 17, 2014

Kama ilivyo tangazwa Exclusif kwenye kipindi cha Changamka show kinacho sikika kupitia Radio Rema Fm hapa Bujumbura kuwa mwanamuziki  na mwigizaji na Manaja mkuu wa Kampuni Golden Star ENT namzungumzia Habonimana Djuma Habibi alimaarufu kama Kook-k.

kuondoka hapa nchini nakufunga safari hadi nchini Tanzania kikazi zaidi ambapo alisema ameenda huku akiwa na dili na kampuni ya kuuza filamu ya Steps ENT kutoka nchini humo Tanzania.
Kook-k na mpenzi wake Titty Love
Kook-k akichonga na Mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru
Kook-k akila pozi na Mh Ismail Niyonkuru kutoka Redio Rema FM & Rema TV
Kook-k akitabasamu kwa maswali ya Mh Ismail Niyonkuru

Kook-k akiwa ndani ya Ndege akielekea Dar Tanzania
Kook-k akipitiwa na kausingizi huku akila muziki laini laniii....khoooooo...khooooo...khoooo


Kook-k akichungulia Burundi kwenye kiyo cha ndege akisema duuuu kumbe ndo Burundi hiyiiii nomaaaaaa......

Kook-k aliondoka Jumatano asubuhi na mapema huku akishindikizwa na watu wasio punguwa wanne wala kuzidi tukimjumuisha na dereva aliye kuwa akiendesha gari alilo kuwemo,pamoja na mpenzi wake Titty Love na mpiga picha wa mtandao umoja wa habari hapa nchini na Mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru.
Kook inasemekana alifika salama nchini Tanzania japo ndege ilichelewa kidogo nakufika mida ya saa tisa alhasiri kutokana kuwa ndege ilikaa Kigoma nchini Tanzania muda mrefu fahamu Kook-k ndege alio ondoka nayo ilipaa kwenye mida ya saa 3 asubuhi na mbele yakuingia kwenye ndege aliongea na moja kwa moja na mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru kwenye kipindi siku hiyo hiyo baada ya kumuacha Airport nakuwahi kazini kwenye kipindi kinacho anza saa mbili kamili.
Taarifa kamili nikuwa Star huyo wa Ndagukatiye amefika salama usalimini mjini Dar es salaam na tayari amesha kutana na mtangazaji wa Redio ya wafaransa ya RFI Kiswahili mtangazaji Billy Billali nakufanya nae kipindi kwenye studio za Redio hiyo.
Kook-k hatokaa muda mrefu huko nikwamba safari yake kama vile alivyo jibu kwenye mic za Mtangazaji Mh Ismail Niyonkuru hatochelewa kurudi ni kama wiki moja atakuwa amerudi Bujumbura.
Kook-k baada ya kuwasili salama Tz akiwa na mtangazaji wa RFI

Kook-k akibugia bugia bila tabu yeyoteee

Kook-k akiwa tayari ndani ya Studio za RFI kiswahili
Kook-k akiwa ndani ya Studio za RFI Kiswahili



TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi