Hahaaaa kweli diamond noma sana,
wanaosema ana hela kibao hawajakosea kabisa kwani kwa mafanikio
aliyonayo na anaendelea kupata sidhani kama atafilisika leo.
Najua kuna
wengi mnaweza bisha na kusema kwani Mr Nice alikua wapi na leo yupo
wapi, but ukweli ni kwamba Diamond na Mr Nice wanautofauti mkubwa katika
kupanga na matumizi ya mshiko.
Hii si siri tena kua kwa sasa Diamond ndo anaongoza kwa kua msanii anaelipwa mshiko mrefu kuliko wote wanamuziki wa huko nchini Tanzania na nahisi anaelekea kua hata Afrika Mashariki.
Tuache Blaaa blaaa na tuende kwenye utamu wenyewe, kama mnakumbuka miezi michache iliyopita msanii Diamond alinunua gari aina ya Toyota Prado na ilikua gumzo sana mtandaoni na kwenye magazeti ya udaku. Sasa baada ya mshiko kuongezeka kaamua kununua gari ambayo ni funiko yani hakuna msanii mwenye kiburi wala jeuri ya kununua gari hiyo. Maana akijaribu tu basi ujue uchumi wake utatetereka mbaya, nayo si nyingine ni Toyota Land Cruser V8 Mpyaaaaaaaaaaaaaa.
Katika fukunyuafukunyua ya timu yetu ya www.ismailniyonkuru.info tukagundua kua ili mtu aweze nunua gari hiyo ni lazima awe na dola za kimarekani 70,000 au ambayo ni zaidi ya milioni 110 za Burundi.
Hakika ni gari ya ukweli sana na hapa Burundi tunazowea kuona wanaotumia magari haya kwa wingi ni watu wenye vyeo vikubwa serikalini mfano Rais Peter Nkurunziza na Mama Denise Nkurunziza,Makamo wa Rais,Mpatanishi wa warundi Sheikh Muhammed Rukara na baadhi ya mawaziri wakubwa.

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!