Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , , » BAADA YA MWANAMUZIKI SUGU JAY KUOKOKA HUYU NDO MWANAHARAKATI NA MUONGOZA WA VIDEO MAARUFU KUTOKA BURUNDI AMBAE NA YEYE AMEOKOKA

BAADA YA MWANAMUZIKI SUGU JAY KUOKOKA HUYU NDO MWANAHARAKATI NA MUONGOZA WA VIDEO MAARUFU KUTOKA BURUNDI AMBAE NA YEYE AMEOKOKA

Written By Unknown on Sunday, 26 January 2014 | Sunday, January 26, 2014





Katika kila dini kutakasika ni jambo lakawaida yani kujitakasa kutoka kwenye hali ya kidunia nakuanza kuwa mtu mwema kimatendo,kwenye tasnia ya muziki wa Burundi kuna wanamuziki wengi wenye kutoka kwenye dini tafauti.
Hivi karibuni tulipata jina lipya la mwanamuziki ambae ni New Jay alie kuwa akiitwa Sugu Jay tishio,ambae aliokoka nakuwa mkristo wa kila siku za ibada kanisani hapana yule wajumaa pili asubuhi ila wakila ibada yote ya kanisani kushirikina na wengine viongozi wa kanisa.
New Jay aliwahi kupitia vingi sana kabla hajaokoka huku akisema kuwa yeye aliwai kuwa akitumia nguvu za giza ili kungarisha nyota yake.
Ila kwa sasa amesha mpokea bwana Yesu ambae yeye amemwita ni mokozi wake.Hivi majuzi mwingine mwana harakati wa huu muziki wa kizazi kipya na Director huku akiwa na Meneja mkuu wa kampuni ya AKAGA VIDEOZ namzungumzia Black Arthur aliweza kubatizwa kitu ambacho walio wengi kwenye hiyi tasnia ya muziki walikuwa hawa amini kuwa jamaa huyo alikuwa mkristo hususani mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru aliweza kusikika akisema"kumbe Arthur alikuwa si mwislamu mi nilikuwa nikijuwa nimwislam"akijubu alipo pewa taarifa zakwenda kwenye sherehe yake yakubatizwa.
Kwenye mahojiano na mtandao huyu Arthur ama Joshua kama jina jipya la ubatizo aliweza kufunguka nakusema "nashkuru sana kuona nimeweza kubatizwa nakuwa mpya nakutolewa madhambi yote,nilikuwa nikifanya yasiyo swihi na dini ila sasa nimekuwa mpya na vitendo vipya"alisikika akisema Joshua


Mpunga kibao ulikuwepo waweza kufumuwa walifumuwa huku wasanii kibao walionekana kumpa shavu mwenzao huku akina Yoya,Peter Niyo,Dj Pro,Ching B wa Mapozinke na bila kumsahau Mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru na yeye pia alikuwepo kufumuwa mpunga wa pilau.


Mtandao huu wa www.ismailniyonkuru.info wamtakia maisha mema ya uokovu asirudi kuw anatenda yale yakuchelewesha video za watuu....

Tazama picha zaidi za tukio zima la sherehe hiyo


Yoya akishiba pilau hadi jasho likimtoka
Black Arthur ama Joshua akibatizwa
Peter Niyo akimaliza kufinya pilau akinawa nawaa huku akisema wali huyuu mtamuuu duuuu....
Dj Proo ama Baba Kijacho akiwasili kuukamuwa na yeye huku akisema duu pilau ina nukia nukiaa ntauwa mimi leo.
Mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru akichangia nyama na Chingy B huku akitowa macho
Dj Proo,Aisee na Black Arthur

Pastor akihutubia waumini
Yoya akimsikiliza Padtor kiulainiii
Pastor akimwaya aya na khadisi kutoka kwenye vitabu tafauti

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi