Ilikuwa
ni siku ya kipekee,ilikuwa ni siku ya maajabu,ilikuwa ni siku ya
khasira na chukii kwa baadhi ya watu,ilikuwa ni siku ya kucheka kwa
wengine na ilikuwa siku ya habari Burundi nzima kwa jumlaa midomoni mwa
watu.
Naimani warundi wengi aidha wanao ufahamu muziki wa Burundi wanaweza kuwa na maswali kadhaa kuhusiana na wapi imetoka aidia yakuwakutanisha kwenye meza moja wakali hawa wa Bifu nawazungmzia Niyonzima Salum Nassor ama bab Rahma na Mugani Desire ama Burundiano.
Mapema jumapili wengi mnafahamu yaliyo tokea Kanyosha kwa Vyisi na ambao hawakuweza kubahatika kufika pale basi mtandao wenu huu wa habari wa www.ismailniyonkuru.info uliweza kukuletea matukio yote yaliyo tokea pale kwa vyisi kwenye show ambayo ilikuwa iliwakutanisha Lolilo na Burundiano.
Habari sasa.
Ilikuwa ijumanne kishindo ijumaatatu yani siku moja kati kutoka ijumapili siku ambayo kulikuwepo show hiyo.
Kila raia alikuwa anataka kufaham nini kinaendelea baada ya Lolilo kupigwa machupa na kuzimiwa mataa kukichangia nakuchomolewa nyaya zote za umeme na za vyombo vya sauti kisha kushuka kwenye jukwaa bila ya hata kuimba na yeye aoneshe ni kipi alicho kuwa amewandalia ma fans wake.
Hivyo
vyote vikidaiwa kuwa mwenzie mwanamuziki Burundiano kukaa kwa muda
mrefu kwenye jukwaa huku akiimba nyimbo zake baadhi ya zote na za wakali
wa marekani wakina Usher Raymond kuleta pia huku akipuuzia kuwa mwenzi
mwanamuziki atapanda jukwani kuimba baada yake.
Inasemekana fikra au mipangilio ya promota wa show hiyo alikuwa anapendeleaya Lolilo ndie angeanza kuimba kisha baadae mwenzie akafatia ila hilo Lolilo kamwe hakuliunga mkono hata kidogo nakuomba kuwa yeye anataka apande kwenye jukwaa nyuma ya Fizzo.
Chukii na zana
Lolilo ni mwanamuziki mkongwe kwenye orodha ya wanamuziki wa huu muziki wa kizazi kipya ana sifa zake ambazo wengine hawana.
Ni mtuu ambae imebainika kuwa ni mwenye jazba ni mtuu ambae asie ambilika na mwenye zana kuwa kile chote kinacho mtokea huwa anahisi kuwa ametendewa na mwanamziki mwenzie Big Fizzo...kwa kifupi ni hayo.
Lolilo inasemekana ana roho ya kwanini na mwanamuziki mwenzie Burundiano...Ila Mwanamuziki Burundiano alishawahi kusikika akisema "Ismail nataka kujuwa kosa gani mimi Fizzo nililo mtendea Lolilo nimuombe msamaha..."
Alhamisi usiku mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru aliweza kumpa mualiko mwanamuziki Mugani Desire ama Burundiano kuja kujibu zile shutma ambazo mwenzie anamshutumu.
Ijumaa mapema asubuhii taarifa zilianza kutolewa kwenye redio hususani mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru mwenyewe akazitangaza kuwa ifikapo saa tano mchana wasiku hiyo ya Ijumaa mwanamuziki Mugani Desire atakuja kujibu yale ambayo yanamkabili.
Ilipo fika saa tano mchana Mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru na mwenzie Mtangazaji Kivumbi kwa lugha ya taifa ya Kirundi waliingia kwenye studio namba 2 za Radio Rema fm kuanza kazii.
Na dakika 15' mwanamuziki Burundiano aliweza kufika nakuingia studio...maswali yakaanza kuulizwaaa na mwanahabari Kivumbi.
Ilipo elekea kwa Mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru alitupa swali la kwanza.Je,ulijiskiaje kupanda jukwaa moja na mwenzako Mwanamuziki?...Fizzo:Vizuri sana.
Ulikuwa unatarajia nini baada ya show je,yale yaliyo tokea?...Fizzo:hapana nilikuwa natarajia mazuri na yaliniuma sana kusikia Mwenzangu kapigwa mawe na machupa.
Inasemekana chanzo cha yote eti ni dili ambalo uliingia ili aharibikiwee....Fizzo:Mimiiii....???hapana sijahusika...kwa sababu ganiii nihusikeee...shida yetu ni pesaa mimi walinipa changu nikaweka mfukoni nakuzimaliza nahisi nimesha zimaliza na kununuwa ka dagaa ka mama nimesha mnunuliya...nihusike kwa sababu gani shida ni pesa chake wamempa changu wakanipa tatizo wapi lipo?
Maswaliii yakaendelea na Kivumbii....
Muda kidogo swali likarudi kuulizwa na Mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru...uhusiano wako na Lolilo ukoje huna ubaya na yeye?...Fizzo sina ubaya na yeye na wala sijawahii kuingia ubaya na yeye...Mh Ismail Niyonkuru akamuuliza unaniruhusu nimpigie simu moja kwa moja?...Fizzo:mpigie mi sina nomaa simuu....duuuuu...duuuuuu...Lolilo akapokeaa nakusemaa Lolilo:nakujaaa nakujaaa niko naendesha gari nakujaaaa...kumbe na yeye alikuwa akisikiliza kipindi...
Punde alipo fika akatusabahii na Fizzo akamsabahii kwa mshangao kwa kila mtu kuona Lolilo anamsabahi Fizzooo...
Loliloo akaulizwa swali na Mh Ismail Niyonkuru huku akinukulu kile ambacho Fizzo alicho tamka kuwa hana ubaya wala hajawahi kumzungumzia vibaya yeye Lolilo...Kumbe Loliloo ile jazba yake ndo imezidii ukalii ukaanza huku akisahau kuwa yuko kwenye kipindi Live mamia ya warundi na watu wa nchi jirani wanamsikilizaa...
We
niwakuniimbia mi Yahaya kweliii wewe unaniita mimi Yahaya na wewe
ntakuita Mgara wewe subiri mimi ni mtoto wa mjini nimezaliwa Buyenzi
uswaziii
Kiswahili nakielewaa...yakaaanza kuwa marefu sana huku kukisalia dakika zisizo zidi kama 2' kipindi kifike ukingonii ikaonekana hakuna jawabu iliopatikana huku ikisalia ile ile jazba na khasira kuzidi.
Wote wakatoka studio huku Lolilo akitoka na ukali mkubwa akifokea wanahabari Kivumbi na Mh Ismail Niyonkuru kuwa walimpendelea mwanamuziki Burundianoo.
Burundiano alionekana kuumizwa na kitendo alicho kifanya Lolilo kushindwa kuongea mbele ya vyombo vya habari kosa alilo mtendea ili amuombe msamahaa warundi wote wasikie akisalia kukumbusha yaliyo pita ambayo yalikuwa hayatuhusu.
Burundiano aliombwa na kiongozi wa Rema Fm waweze kupiga picha ya pamoja ila Burundiano aka kataa nakusema"kwani ana niona mimi mjinga kumuomba msamaaha kwenye Redio?"alisikika akisemaa
Lolilo baada ya kuondoka muda mchache na Burundiano na yeye akaondoka
Maono ya watu
Raia wengi kwa asilimia kubwa walionekana kulaani kitendo cha mwanamuziki Lolilo alicho kifanya kwenye Redio kwa kuzungumza kwa jazba na kushindwa kutumia hekima na busara.Huku akitowa maneno yasiyo kuwa na msingi tena kwenye Redio.
Naimani warundi wengi aidha wanao ufahamu muziki wa Burundi wanaweza kuwa na maswali kadhaa kuhusiana na wapi imetoka aidia yakuwakutanisha kwenye meza moja wakali hawa wa Bifu nawazungmzia Niyonzima Salum Nassor ama bab Rahma na Mugani Desire ama Burundiano.
Mapema jumapili wengi mnafahamu yaliyo tokea Kanyosha kwa Vyisi na ambao hawakuweza kubahatika kufika pale basi mtandao wenu huu wa habari wa www.ismailniyonkuru.info uliweza kukuletea matukio yote yaliyo tokea pale kwa vyisi kwenye show ambayo ilikuwa iliwakutanisha Lolilo na Burundiano.
Habari sasa.
Ilikuwa ijumanne kishindo ijumaatatu yani siku moja kati kutoka ijumapili siku ambayo kulikuwepo show hiyo.
Kila raia alikuwa anataka kufaham nini kinaendelea baada ya Lolilo kupigwa machupa na kuzimiwa mataa kukichangia nakuchomolewa nyaya zote za umeme na za vyombo vya sauti kisha kushuka kwenye jukwaa bila ya hata kuimba na yeye aoneshe ni kipi alicho kuwa amewandalia ma fans wake.
Lolilo na Kivumbi |
Inasemekana fikra au mipangilio ya promota wa show hiyo alikuwa anapendeleaya Lolilo ndie angeanza kuimba kisha baadae mwenzie akafatia ila hilo Lolilo kamwe hakuliunga mkono hata kidogo nakuomba kuwa yeye anataka apande kwenye jukwaa nyuma ya Fizzo.
Chukii na zana
Lolilo ni mwanamuziki mkongwe kwenye orodha ya wanamuziki wa huu muziki wa kizazi kipya ana sifa zake ambazo wengine hawana.
Ni mtuu ambae imebainika kuwa ni mwenye jazba ni mtuu ambae asie ambilika na mwenye zana kuwa kile chote kinacho mtokea huwa anahisi kuwa ametendewa na mwanamziki mwenzie Big Fizzo...kwa kifupi ni hayo.
Lolilo inasemekana ana roho ya kwanini na mwanamuziki mwenzie Burundiano...Ila Mwanamuziki Burundiano alishawahi kusikika akisema "Ismail nataka kujuwa kosa gani mimi Fizzo nililo mtendea Lolilo nimuombe msamaha..."
Alhamisi usiku mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru aliweza kumpa mualiko mwanamuziki Mugani Desire ama Burundiano kuja kujibu zile shutma ambazo mwenzie anamshutumu.
Ijumaa mapema asubuhii taarifa zilianza kutolewa kwenye redio hususani mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru mwenyewe akazitangaza kuwa ifikapo saa tano mchana wasiku hiyo ya Ijumaa mwanamuziki Mugani Desire atakuja kujibu yale ambayo yanamkabili.
Ilipo fika saa tano mchana Mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru na mwenzie Mtangazaji Kivumbi kwa lugha ya taifa ya Kirundi waliingia kwenye studio namba 2 za Radio Rema fm kuanza kazii.
Na dakika 15' mwanamuziki Burundiano aliweza kufika nakuingia studio...maswali yakaanza kuulizwaaa na mwanahabari Kivumbi.
Ilipo elekea kwa Mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru alitupa swali la kwanza.Je,ulijiskiaje kupanda jukwaa moja na mwenzako Mwanamuziki?...Fizzo:Vizuri sana.
Ulikuwa unatarajia nini baada ya show je,yale yaliyo tokea?...Fizzo:hapana nilikuwa natarajia mazuri na yaliniuma sana kusikia Mwenzangu kapigwa mawe na machupa.
Inasemekana chanzo cha yote eti ni dili ambalo uliingia ili aharibikiwee....Fizzo:Mimiiii....???hapana sijahusika...kwa sababu ganiii nihusikeee...shida yetu ni pesaa mimi walinipa changu nikaweka mfukoni nakuzimaliza nahisi nimesha zimaliza na kununuwa ka dagaa ka mama nimesha mnunuliya...nihusike kwa sababu gani shida ni pesa chake wamempa changu wakanipa tatizo wapi lipo?
Maswaliii yakaendelea na Kivumbii....
Muda kidogo swali likarudi kuulizwa na Mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru...uhusiano wako na Lolilo ukoje huna ubaya na yeye?...Fizzo sina ubaya na yeye na wala sijawahii kuingia ubaya na yeye...Mh Ismail Niyonkuru akamuuliza unaniruhusu nimpigie simu moja kwa moja?...Fizzo:mpigie mi sina nomaa simuu....duuuuu...duuuuuu...Lolilo akapokeaa nakusemaa Lolilo:nakujaaa nakujaaa niko naendesha gari nakujaaaa...kumbe na yeye alikuwa akisikiliza kipindi...
Punde alipo fika akatusabahii na Fizzo akamsabahii kwa mshangao kwa kila mtu kuona Lolilo anamsabahi Fizzooo...
Loliloo akaulizwa swali na Mh Ismail Niyonkuru huku akinukulu kile ambacho Fizzo alicho tamka kuwa hana ubaya wala hajawahi kumzungumzia vibaya yeye Lolilo...Kumbe Loliloo ile jazba yake ndo imezidii ukalii ukaanza huku akisahau kuwa yuko kwenye kipindi Live mamia ya warundi na watu wa nchi jirani wanamsikilizaa...
Lolilo (hapa mwanzo kushoto),Kivumbi (katikati) na Burundiano (kulia) |
Kiswahili nakielewaa...yakaaanza kuwa marefu sana huku kukisalia dakika zisizo zidi kama 2' kipindi kifike ukingonii ikaonekana hakuna jawabu iliopatikana huku ikisalia ile ile jazba na khasira kuzidi.
Wote wakatoka studio huku Lolilo akitoka na ukali mkubwa akifokea wanahabari Kivumbi na Mh Ismail Niyonkuru kuwa walimpendelea mwanamuziki Burundianoo.
Burundiano alionekana kuumizwa na kitendo alicho kifanya Lolilo kushindwa kuongea mbele ya vyombo vya habari kosa alilo mtendea ili amuombe msamahaa warundi wote wasikie akisalia kukumbusha yaliyo pita ambayo yalikuwa hayatuhusu.
Burundiano aliombwa na kiongozi wa Rema Fm waweze kupiga picha ya pamoja ila Burundiano aka kataa nakusema"kwani ana niona mimi mjinga kumuomba msamaaha kwenye Redio?"alisikika akisemaa
Lolilo baada ya kuondoka muda mchache na Burundiano na yeye akaondoka
Maono ya watu
Raia wengi kwa asilimia kubwa walionekana kulaani kitendo cha mwanamuziki Lolilo alicho kifanya kwenye Redio kwa kuzungumza kwa jazba na kushindwa kutumia hekima na busara.Huku akitowa maneno yasiyo kuwa na msingi tena kwenye Redio.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!