Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » HATIMAYE BOBBI MTOTO WA WITHNEY HOUSTON ATANGAZA KUWA ANATAKA KUOLEWA NA MPENZI WAKE WA ZAMANI

HATIMAYE BOBBI MTOTO WA WITHNEY HOUSTON ATANGAZA KUWA ANATAKA KUOLEWA NA MPENZI WAKE WA ZAMANI

Written By Unknown on Saturday, 11 January 2014 | Saturday, January 11, 2014

Mtoto wa Marehemu Whitney Houston 'Bobbi Kristina' ameshangaza watu hivi karibuni kwa kutangaza rasmi kwenye
accout yake ya twitter kuwa ameolewa na mpenzi wake wa muda mrefu ambaye alishawahi kuwa kaka aliyepitishwa {Adopted Brother]  maarufu kama Nick Gordon. Inasemekana  Nick akiwa na miaka 12 alilelewa na Whitney na familia yake kama mtoto wao.

Binti huyu mwenye miaka 20 aliandika kwenye twitter  “#HappilyMarried So #Inlove if you didn't get it the first time that is.

Fahamu kuwa jambo hili lilitegemewa na wafuatiliaji wa maisha ya vijana hawa toka watangaze kuwa wachumba October mwaka 2012.  
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi