Kama unahitaji sababu yingine zaidi ya kuangalia tuzo za 56
za Grammys Awards jumapili hii, basi sababu hii hapa: Beyonce na Jay Z!
Baada ya kuwepo kwa tetesi kwamba muimbaji wa “Drunk In Love” angetumbuiza kwenye tuzo mwaka huu, hivi sasa imethibitishwa rasmi na shirika la habari la CBS kupitia promo yao ya usiku mkubwa mkubwa zaidi katika tasnia ya muziki Marekani na duniani kote.
Kwa mujibu wa CBS, wote wawili Beyoncé na Jay Z watatumbuiza katika tuzo hizo zitakazoongozwa na LL Cool J, na jambo la kufurahisha zaidi watatumbuiza katika saa ya kwanza tukio hilo ambalo litakuwa live kwenye television. Mpaka sasa hakuna uthibitisho nani ataifungua show ya Grammy ya mwaka huu, ingawa kwa kuangalia mafanikio makubwa aliyoyapata Beyonce na albam yake mpya, hakuna mashaka kwamba yeye ndio atakuwa mtu wa kwanza kuifungua show hiyo.
Jay Z anaongoza kwa kuwa nominated mara 9 katika tuzo hizo.
The Grammys Awards pia zitaonyeshwa katika kituo cha Channel O kupitia DSTV Sunday, January 26th, Saa 4 Usiku kwa saa Afrika Mashariki.

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!