Rais wa Marekani Barack Obama atawaalika viongozi takribani 50 wa
serikali za barani Afrika kushiriki mkutano wa mwezi Agosti mjini
Washington.
Naibu msemaji wa White House,Jonathan Lalley anasema Rais Obama atawajumuisha wakuu wote wa nchi au serikali za bara la Afrika ukiwatoa wale ambao hawana uhusiano mzuri na Marekani au waliosimamishwa kwa muda uanachama na Umoja wa Afrika-AU.
Lalley anasema mwenyekiti wa AU,Nkosazana Dlamini-Zuma pia ataalikwa kwenye mkutano ambao unafanyika Agosti tano hadi sita. White House ilitangaza mkutano huo jumanne ikisema Marekani itautumia kuimarisha ushirikiano wa biashara na uwekezaji na bara la Afri

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!