Mwanamuziki Richard Martin Maarufu Kama Rich Mavoko leo amempoteza Baba Yake Mzazi Mr Martin.
![]() |
| Rich Mavoko |
Rich Mavoko ameandika hivi kwenye acccount yake ya instagram “R.I.P my Father… amefariki sasa ivi jamaniiii….” post iliyowekwa na picha ya giza.



0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!