Baada
 ya hivi majuzi kuondoka hapa nchini nakuelekea nchini Tanzania kikazi 
zaidi,Mwanamuziki Kook-k aliondoka hapa nchini akiwa na dili na kampuni 
yakusambaza filamu naizungumzia kampuni ya Steps Entertainment kutoka 
nchini humo.
Dili hilo la 
Steps limeonekana kuwa la kweli baada ya mtandao wako wa habari wa 
www.ismailniyonkuru.info kunasa picha akiwa nje ya kapuni hiyo ya Steps 
Ent.
Kook-k amabae 
anatarajia kutuwa hapa nchini jumatano hii asubuhi kwenye mida ya saa 3 
kwenye uwanja wa ndege wa Bujumbura International Airport.
![]()  | 
| Kook-k akiondoka ndani ya ofisi za Steps | 
![]()  | 
| Inje ya ofisi za Steps | 
![]()  | 
| Kook-k akiwa anapata mlo wa Dar | 
![]()  | 
| Kook-k akigongea juice na machizi | 






0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!