Kwenye
mahojiano na New Yorker, Rais huyo ameeleza kwamba matumizi ya bangi sio
kitu anachoweza kuwashauri watoto wake au mtu yeyoe kutumia, ila
tahadhali kimekuwa ni tatizo kubwa ndani ya nchi hiyo.
"Kama
ilivyowahi kuelezwa, nilikuwa navuta kama mtoto, na nikaona kuwa ni
tabia mbaya na kinyume chake pia, haina tofauti na sigara ambayo
niliivuta kama kijana mdogo mpaka nilipofika kuwa mtu mzima. Sidhani
kama ni kitu hatari," Bwana Obama alisema.
Bangi imekuwa ni mwiko
wa viongozi wengi wa kisiasa, na hata kuna kipindi ilizua matatizo kwa
Rais wa zamani wa nchi hiyo Bill Clinton katika kipindi alichokuwa
akigombea Urais mnamo mwaka 1992 pale ilipowekwa wazi alikuwa ni mvutaji
katika kipindi alichokuwa akisoma nchini Uingereza, na alijibu kuwa
hakuwahi na wala kujaribu kufanya hivyo'
Kwa upande mwengine Rais Obama yeye amekuwa mkweli zaidi, akikiri kuwa alikuwa akivuta na hata kutumia cocaine mnamo mwaka 1995 kwenye kumbukumbu za ndoto ya baba yake.
Kwa upande mwengine Rais Obama yeye amekuwa mkweli zaidi, akikiri kuwa alikuwa akivuta na hata kutumia cocaine mnamo mwaka 1995 kwenye kumbukumbu za ndoto ya baba yake.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!