Muziki ni nini?,muziki ni maisha muziki ni kazi muziki ni burudani,ila muziki bado unapo paelekea nchini Burundi kunazungumzwa tafauti kuna baadhi ya wanao nena kuwa muziki unaelekea kwenye mafaanikio kama zingine nchi za Africa ya mashariki ambao tunachangia community na zingine za bara la Africa au za duniani kote lakini kuna wengine wanasema bado muziki wa Burundi hakuna unapo elekea huku kukizungumzwa sababu nyingi.
Wasanii wengi wana moyo wakufanya kazi kwa bidii ili waone kama watatoka ki maisha na wao wawe na maisha mazuri kama wengine wanamuziki wa duniani,wamiliki majumba yakifakhari ma magari mazuri kujenga familiya zao kwenye mazingira mazuri yakufurahisha kupitia hiyo hiyo kazi yao ya Muziki.
Lakini hayo yote kwa wanamuziki wa kizazi kipya wa Burundi ni kama ndoto vile huku wakisalia wakimsikia Diamond wa Tanzania mathalani akinunuwa jumba nzuri au gari nzuri akisaini mikataba minono na makampuni makubwa,au kuwasikia wasanii wa nchi ya juzi kwenye muziki naizungumzia nchi ya Rwanda ambao wasanii wao wameanza kukata pesa ndefu kwenye kazi yao ya muziki huku concert za ulaya kwao ni rahisi kama maji ya kunywa.
Burundi unapo taka kujaribu kutoka unakutwa na matatizo kadha wa kadha na kama hauna moyo wakuvumiliya basi game la muziki wa Burundi utaondoka mapema na watakusahau kwa muda mchache.
Hivi majuzi mwanamuziki Issa Jamal a.k.a Yoya mwanamuziki mwenye asili ya Mkoani Muyinga alipo alikwa kwenye kipindi maridadi cha CHANGAMKA SHOW kinacho endeshwa na mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru,mwanamuziki huyo aliweza kuzungumzia kuwa mwaka wa ulio malizika wa 2013 haukuwa mwaka mzuri kwake kivile alivyo kuwa anataka kwa sababu anasema kuwa hakutumika sana kama alivyo tarajia.
Yoya akasema anatarajia kuonesha uwezo wake wapi unapo ishia kwa mwaka huu wa 2014 naku ahidi kuwa mwaka huu wa 2014 kwake anauwita kama mwaka wa kufanya kazi sana tena kwa bidii ya kiasi kikubwa.
Hayo aliyasema asubuhi ya tarehe 31 yani masaa machache yakisalia tuingie kwenye mwaka mpya wa 2014.
Yoya ambae yuko chini ya Album ambayo inaandaliwa na kusimamiwa chini ya kampuni ya IKOh Multiservices ikiwa na Mkurugenzi wao mkuu Mh Bw Haruna Ikoriciza raia wa Burundi mwenye maikazi yake nchini UAE mjini Dubai.
Mbali na kuwa chini ya YOU'L LOVE CHANGES album Yoya mwenye anajisimamia kwenye kazi zake.
Moja mwa kazi zake nzuri ambazo kazitengeneza mwaka huo wa 2013 ulio malizika na kuziachia mwishoni mwa mwaka huo ni Track "Mot de Passe"track ambayo kwa sasa inafanya vyema sana kwenye ma Radio tafauti hapa nchini mbali na hiyo track Yoya alikuwa na nyingine Track ambayo na bonge la video lilikwa limesha andaliwa na lilikuwa linatarajiwa kutoka hivi karibuni,track hiyo ambayo ilikuwa inaitwa "Karibu na mi" track ambayo iko kwenye miondoko ya zouk zouk hivo.
Track hiyo ya "Karibu nami" ni moja mwa track ambazo isemekana mwananamuziki huyo anaipenda na alikuwa ameshaanza kuindalia bonge la Video.
Na bila kuchelewa star huyo ambaye kazi zake hapendi ziboronge alianza harakati za kuitengenezea video track hiyo na tarehe 18 za mwezi wa tisa mwaka huyo ulio pita ndipo star huyo alianza kazi zakuitengeneza video hiyo na baadhi ya picha za video hiyo ndo hizo hapo.
Video hiyo ambayo ilikuwa imeandaliwa kwenye mazingira ya beach beach mchangani mchangani star huyo alifunga safari hadi Rumonge kusini mwa nchi ndipo walipo tengenezea video hiyo na picha za video baadae kutoka na mnato mzuri wa kuvutia.
Video hiyo ambayo ilikuwa imesimamiwa na kampuni ya IKOh Multiservices moja mwa kampuni zenye kutengeneza video za mvuto hapa nchini ikiwa na Director wao mahiri Guerra Man.
Yoya alionekana kuumia roho sana huku zaidi kitu kilicho muuma roho si kingine bali ni nguvu alizo zitumia kwa kuiandaa hiyo video ambayo binafsi alikuwa akihisi ni video ambayo ingempa heshma hapa nchini,na lingine zaidi kushindwa basi kumwambia mapema toka tarehe hiyo ya jumatano tarehe 18 september anakuja kupewa taarifa mwaka wa 2014.
Mh Ismail Niyonkuru baada ya kupata taarifa hizo ilimbidi amsake Meneja mkuu wa kampuni hiyo ambae yupo likizo hapa nchini Mh Haruna,usiku wa Alhamisi ya tarehe 9 Januari kwenye makao makuu ya kampuni hiyo ambapo alikutana na Meneja mkuu Haruna.
Kwenye mazungumzo yaliyo shika takribani muda wa saa 3 kati ya mwanahabari huyo na meneja huyo walizungumzia zaidi swala la mwanamuziki huyo na ajali hiyo iliyo tokea kwa kampuni kubwa kama hiyo.
Mh Haruna kiupande wake alionekana kuwa mwenye uzuni usoni nakusema kuwa:"nilizipata taarifa hizo nilikuwa nje ya nchi nilikuwa Dubai niliambiwa kuwa video ya Yoya kuwa eti picha kwanza niliambiwa zilipotea na baadae zikawa zimepatikana na zilipo patikana zikaja hazina quality na kuwa mimi nilishatowa amri kama mkurugenzi wa kampuni ni vyema kuzuwia kitu kibaya ambacho kitaleta dowa mbaya kwa kampuni yangu badala ya kukitowa"
Baadae mahojiano yaliendelea na akasema kuwa swala hilo wamesha limaliza na Yoya na suluhu imesha patikana "mi kitu hicho nimesha kizungumza na Yoya na nikamwambia alete mpangilio wa video yake vile anataka iwe kampuni imesha kubali kumtengenezea nyingine video na nimeshaongea na wafanya kazi wangu hususani director mkuu kwenye maswala ya video ambae ni Guerra Man amesha nikubalia kuwa kwa siku tatu itakuwa imekwisha"
Hayo yote mkurugenzi wa kampuni hiyo akakubali kuwa walimkosea sana.
Baada ya mtangazaji Mh Ismail Niyonkuru kumuuliza kama meneja wa kampuni kuwa kitendo hicho yeye anakizungumziaje na haoni kama kitaathiri uhusiano wake na Yoya na kampuni kwa jumla?Mkurugenzi huyo alisema hivi"Mimi sijajuana na Yoya kwa sababu ya ile track Yoya ni mtu maana kwangu sana,ni mwanamuziki pekee anae fika kwangu tena anajihisi kama kwake na anakuwa huru kwa kiasi kikubwa Yoya nimtu ninae msikia sana,mengi tumebadilisha na yeye na jumla tukiwa chini ya Ikoh ila hilo haliwezi ku haribu uhusiano wetu na Yoya,kuna mengi baadae tutafanya"
Je,unahisi Yoya yeye alijibu nini kuhusiana na hayo aliyo yazungumza mkurugenzi huyo?Baada ya kikao hicho kumalizika kwa amani kati ya Mh Ismail NIYONKURU na Mh Haruna.
Mh Ismail NIYONKURU usiku wa saa tatu hivo alijaribu kubadilishana mawazo na mwanamuziki Yoya kupitia kwenye Mtandao wa Whatsapp ila kauli zote mwanamuziki huyo alizo zitowa alionekana kuwa na uchungu mkubwa na jazba moyoni kwa muonekano wa kauli alizo zitumia.
Kwenye ukurasa wake wa Facebook mwanamuziki huyo alionesha kuzungumzia uchungu alio nawo.
Kwenye mazungumzo hayo ya Mh Ismail Niyonkuru na Yoya Mh Ismail Niyonkuru aliweza kumuuliza kuhusu swala lakuwa atakubali kutengeneza nyingine video kama alivyo zungumza meneja mkuu wa IKOh ila star huyo alionekana kukataa katu katu kutengeneza video nyingine nakusema hivi"mimi sijaongea na Haruna chochote"
Je wewe kiupande wako unazungumziaje hali hiyi?majibu yako ni yamuhimu zaidi
Wasanii wengi wana moyo wakufanya kazi kwa bidii ili waone kama watatoka ki maisha na wao wawe na maisha mazuri kama wengine wanamuziki wa duniani,wamiliki majumba yakifakhari ma magari mazuri kujenga familiya zao kwenye mazingira mazuri yakufurahisha kupitia hiyo hiyo kazi yao ya Muziki.
Lakini hayo yote kwa wanamuziki wa kizazi kipya wa Burundi ni kama ndoto vile huku wakisalia wakimsikia Diamond wa Tanzania mathalani akinunuwa jumba nzuri au gari nzuri akisaini mikataba minono na makampuni makubwa,au kuwasikia wasanii wa nchi ya juzi kwenye muziki naizungumzia nchi ya Rwanda ambao wasanii wao wameanza kukata pesa ndefu kwenye kazi yao ya muziki huku concert za ulaya kwao ni rahisi kama maji ya kunywa.
Burundi unapo taka kujaribu kutoka unakutwa na matatizo kadha wa kadha na kama hauna moyo wakuvumiliya basi game la muziki wa Burundi utaondoka mapema na watakusahau kwa muda mchache.
Hivi majuzi mwanamuziki Issa Jamal a.k.a Yoya mwanamuziki mwenye asili ya Mkoani Muyinga alipo alikwa kwenye kipindi maridadi cha CHANGAMKA SHOW kinacho endeshwa na mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru,mwanamuziki huyo aliweza kuzungumzia kuwa mwaka wa ulio malizika wa 2013 haukuwa mwaka mzuri kwake kivile alivyo kuwa anataka kwa sababu anasema kuwa hakutumika sana kama alivyo tarajia.
Yoya akasema anatarajia kuonesha uwezo wake wapi unapo ishia kwa mwaka huu wa 2014 naku ahidi kuwa mwaka huu wa 2014 kwake anauwita kama mwaka wa kufanya kazi sana tena kwa bidii ya kiasi kikubwa.
Yoya ambae yuko chini ya Album ambayo inaandaliwa na kusimamiwa chini ya kampuni ya IKOh Multiservices ikiwa na Mkurugenzi wao mkuu Mh Bw Haruna Ikoriciza raia wa Burundi mwenye maikazi yake nchini UAE mjini Dubai.
Mbali na kuwa chini ya YOU'L LOVE CHANGES album Yoya mwenye anajisimamia kwenye kazi zake.
Moja mwa kazi zake nzuri ambazo kazitengeneza mwaka huo wa 2013 ulio malizika na kuziachia mwishoni mwa mwaka huo ni Track "Mot de Passe"track ambayo kwa sasa inafanya vyema sana kwenye ma Radio tafauti hapa nchini mbali na hiyo track Yoya alikuwa na nyingine Track ambayo na bonge la video lilikwa limesha andaliwa na lilikuwa linatarajiwa kutoka hivi karibuni,track hiyo ambayo ilikuwa inaitwa "Karibu na mi" track ambayo iko kwenye miondoko ya zouk zouk hivo.
Track hiyo ya "Karibu nami" ni moja mwa track ambazo isemekana mwananamuziki huyo anaipenda na alikuwa ameshaanza kuindalia bonge la Video.
Na bila kuchelewa star huyo ambaye kazi zake hapendi ziboronge alianza harakati za kuitengenezea video track hiyo na tarehe 18 za mwezi wa tisa mwaka huyo ulio pita ndipo star huyo alianza kazi zakuitengeneza video hiyo na baadhi ya picha za video hiyo ndo hizo hapo.
Video hiyo ambayo ilikuwa imeandaliwa kwenye mazingira ya beach beach mchangani mchangani star huyo alifunga safari hadi Rumonge kusini mwa nchi ndipo walipo tengenezea video hiyo na picha za video baadae kutoka na mnato mzuri wa kuvutia.
Video hiyo ambayo ilikuwa imesimamiwa na kampuni ya IKOh Multiservices moja mwa kampuni zenye kutengeneza video za mvuto hapa nchini ikiwa na Director wao mahiri Guerra Man.
Toka tarehe 18 ya mwezi huyo wa tisa mwaka huo uliopita Star huyo wa"Muramumbwirira" alikuwa akiikaa akisubiriya video hiyo huku akihisi kama video ipo jikoni inatengenezwa chini ya kampuni hiyo.
Hisia za mwanamuziki huyo zilionekana kuingiliwa na giza kubwaa baada ya kuona siku zinazidi kuwa nyingi na video haioni ikambidi aulize kisa na maana cha video kuchelewa toka siku hiyo ya jumatano tarehe 18 za mwezi wa September mwaka wa 2013 mpaka mwaka mwengine unaingia bado hajaona video.
Ila majibu ambayo star huyo aliyo yapata ni yakuvunja nguvu.Aliambiwa video picha zime haribika na haziwezi kutoka na mnato mzuri wa video kwa hiyo video haitopatikana tena.
Yoya alikosa lakufanya huku majonzi na uchungu ukisalia moyoni mwake pekeake kwa kukosa nani atakae mlilia huku akiichukilia kuwa kampuni hiyo ime haribu kwa kiasi kikubwa kazi yake.Hayo yote majibu aliyo yapata aliyaambiwa na mratibu mkuu kwenye kampuni hiyo ajulikanae kwa jina la Abdallah.Yoya alionekana kuumia roho sana huku zaidi kitu kilicho muuma roho si kingine bali ni nguvu alizo zitumia kwa kuiandaa hiyo video ambayo binafsi alikuwa akihisi ni video ambayo ingempa heshma hapa nchini,na lingine zaidi kushindwa basi kumwambia mapema toka tarehe hiyo ya jumatano tarehe 18 september anakuja kupewa taarifa mwaka wa 2014.
Mh Ismail Niyonkuru baada ya kupata taarifa hizo ilimbidi amsake Meneja mkuu wa kampuni hiyo ambae yupo likizo hapa nchini Mh Haruna,usiku wa Alhamisi ya tarehe 9 Januari kwenye makao makuu ya kampuni hiyo ambapo alikutana na Meneja mkuu Haruna.
Kwenye mazungumzo yaliyo shika takribani muda wa saa 3 kati ya mwanahabari huyo na meneja huyo walizungumzia zaidi swala la mwanamuziki huyo na ajali hiyo iliyo tokea kwa kampuni kubwa kama hiyo.
Mh Haruna kiupande wake alionekana kuwa mwenye uzuni usoni nakusema kuwa:"nilizipata taarifa hizo nilikuwa nje ya nchi nilikuwa Dubai niliambiwa kuwa video ya Yoya kuwa eti picha kwanza niliambiwa zilipotea na baadae zikawa zimepatikana na zilipo patikana zikaja hazina quality na kuwa mimi nilishatowa amri kama mkurugenzi wa kampuni ni vyema kuzuwia kitu kibaya ambacho kitaleta dowa mbaya kwa kampuni yangu badala ya kukitowa"
Baadae mahojiano yaliendelea na akasema kuwa swala hilo wamesha limaliza na Yoya na suluhu imesha patikana "mi kitu hicho nimesha kizungumza na Yoya na nikamwambia alete mpangilio wa video yake vile anataka iwe kampuni imesha kubali kumtengenezea nyingine video na nimeshaongea na wafanya kazi wangu hususani director mkuu kwenye maswala ya video ambae ni Guerra Man amesha nikubalia kuwa kwa siku tatu itakuwa imekwisha"
Hayo yote mkurugenzi wa kampuni hiyo akakubali kuwa walimkosea sana.
Baada ya mtangazaji Mh Ismail Niyonkuru kumuuliza kama meneja wa kampuni kuwa kitendo hicho yeye anakizungumziaje na haoni kama kitaathiri uhusiano wake na Yoya na kampuni kwa jumla?Mkurugenzi huyo alisema hivi"Mimi sijajuana na Yoya kwa sababu ya ile track Yoya ni mtu maana kwangu sana,ni mwanamuziki pekee anae fika kwangu tena anajihisi kama kwake na anakuwa huru kwa kiasi kikubwa Yoya nimtu ninae msikia sana,mengi tumebadilisha na yeye na jumla tukiwa chini ya Ikoh ila hilo haliwezi ku haribu uhusiano wetu na Yoya,kuna mengi baadae tutafanya"
Je,unahisi Yoya yeye alijibu nini kuhusiana na hayo aliyo yazungumza mkurugenzi huyo?Baada ya kikao hicho kumalizika kwa amani kati ya Mh Ismail NIYONKURU na Mh Haruna.
Mh Ismail NIYONKURU usiku wa saa tatu hivo alijaribu kubadilishana mawazo na mwanamuziki Yoya kupitia kwenye Mtandao wa Whatsapp ila kauli zote mwanamuziki huyo alizo zitowa alionekana kuwa na uchungu mkubwa na jazba moyoni kwa muonekano wa kauli alizo zitumia.
Kwenye ukurasa wake wa Facebook mwanamuziki huyo alionesha kuzungumzia uchungu alio nawo.
Kwenye mazungumzo hayo ya Mh Ismail Niyonkuru na Yoya Mh Ismail Niyonkuru aliweza kumuuliza kuhusu swala lakuwa atakubali kutengeneza nyingine video kama alivyo zungumza meneja mkuu wa IKOh ila star huyo alionekana kukataa katu katu kutengeneza video nyingine nakusema hivi"mimi sijaongea na Haruna chochote"
Je wewe kiupande wako unazungumziaje hali hiyi?majibu yako ni yamuhimu zaidi
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!