Taarifa kwenye vyombo vya habari hususani kwenye vipindi vya michezo vya radio tafauti hapa nchini vinazungumzia zaidi safari ya timu ya taifa ya INTAMBA MU RUGAMBA kuelekea huko Africa ya kusini kwenye michuano ya CHAN 2014,ikiwa Burundi ni kwa mara ya kwanza inaingia kwenye michuano hiyo.
Kwenye vipindi vya michezo vya leo ijumaa kama MORNING SPORTS,REMA SPORTS(kwa lugha ya taifa) na REMA SPORTS (kwa lugha ya Kiswahili) kwenye RADIO REMA FM wamezungumzia zaidi safari hiyo ya timu ya taifa ya INTAMBA MU RUGAMBA.
Taarifa zinasema kuwa usiku wa leo pande za saa nane za usiku ndipo kikosi hicho kitaingia kwenye tumbo la ndege nakuelekea huko Africa ya kusini ila wataanza kupitia nchini Kenya na kuna taarifa zina sema kuwa wata lala huko kenya kisha asubuhi waendeleye na safari yao.
Kama kawaida yetu mtandao wenu wa habari wa www.ismailniyonkuru.info unawatakia safari njema na kuwatakia ushindi mnono na kuwaomba walete kombeeee.
Safarrrrrrrrrriiiiiiiiiiiiiiiiiii njeeeeeeeeemaaaaaaaaaaaa....................

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!