Huyu ambae mnae muona kwa picha anaitwa kwa jina la Erick Mzava kama alivyo jitambulisha ni mtanzania ila alikuwa akifanyia kazi zake hapa nchini kwenye kampuni ya ALPHA SYSTEME inayo milikiwa na Alpha.
Huyu kijana aliletwa na mmiliki wa kampuni hiyo akitokea nchini Tanzania,inasemekana kijana huyu alikuwa mchapa kazi mzuri kwenye kampuni hiyo hapo mwanzo.
Alianza kujenga jina zaidi baada ya kutengeneza video ya mwanamuziki maarufu hapa nchini Mugani Desire alimaarufu kama Big Fizzo video ya Track ya "Ndakumisinze" Baadae kutengeneza "Maneno matamu" ya Lolilo na Ally KIBA.Erick mzava alianza kutizamwa jicho nzuri na wanamuziki wa Burundi huku bila kujuwa lengo la Director huyo kutoka Tanzania kuwa ilikuwa kupora vifao vya kampuni hiyo ya ALPHA SYSTEM.
Inasemakana ilikuwa siku za juma tatu alikuwa na mpango wakwenda kushuti video aliondoka asubuhi kwa mujibu wa meneja wa kampuni hiyo na alikuwa na mpango wakurudi kazini kwakwe mida ya saa kumi za magharibi,ila meneja alipo ona mfanya kazi wake anachelewa kurudi ilimbidi afanye jitihada zakumsaka kwenye sim yake ila alikuwa hapatikani.
Ikambidi awasake wasanii ambao walikuwa na mpango nae wa kushuti video wao wakasema kuwa wao na Director huyo waliachana nae toka saa sita za adhuhuri,hapo ndipo meneja huyo hisia za kuwa Erick Mzava kachomoka zikaanza kumuingia,ilimbidi aingie studio akakuta mezani kuna kakaratasi kadogo kenye maandishi huku maandishi hayo ikiwa ni password ya computer tuu ila vingine hakuna ikiwa ni pamoja na Camera Canon 7D na tuvifaa tungine tungine.Hadi sasa kijana huyu anasakwa na vyombo vya sheria akiombwa arejeshe mali ya kampuni hiyo.
Tafadhali ukimuona kijana huyu unaweza kutowa taarifa kwa +257 76 312 312
Erick Mzava |

Erick na Ally Kiba |
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!