Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , » HUYU NDO MWANAMUZIKI WA BURUNDI AMBAE AMENUNUWA GARI MWISHONI MWA MWAKA WA 2013

HUYU NDO MWANAMUZIKI WA BURUNDI AMBAE AMENUNUWA GARI MWISHONI MWA MWAKA WA 2013

Written By Unknown on Friday, 3 January 2014 | Friday, January 03, 2014

Kukiwa kunasalia siku chache mwaka wa 2014 uingie na tuwe tumeuacha mwaka wa 2013 star wa track ya "Nkarira" aliingia kwenye Headlines baada ya kununuwa gari jingine aina ya Toyota TI.

Lolilo alinunuwa gari hilo japo si jipya kutoka dukani lakini bado laonekana lipo fiti,fahamu kuwa amenunuwa gari hilo kukiwa kumemalizika siku chache ameliuza gari ambalo alilo kuwa akimiliki aina ya Toyota Corona lenye rangi ya Blue gari hilo Corona ambalo liliwai kumletea timbwili kubwa baada ya kuingia kwenye mgogoro na fundi mechanic alie muuzia Star huyo gari hilo huku ikidaiwa gari hilo lilikuwa ni la kigogo umoja hapa nchini.
Pia ningependa ufahamu kuwa gari hilo aina ya Corona ambayo alikaa nalo baada ya kushinda kesi ya kulimiliki na kusalia nalo kwa takribani miezi isiyo punguwa mi tatu na baadaye kuamua kuliuza kwa Producer na manager wa Studio yaku rekodi muziki ya Technologie Sound ambae ni Producer A TIZO.
Lakini baadae waliingia kwenye mgogoro na Producer huyo huku chanzo kikidai kuwa Producer huyo alishindwa kummalizia Lolilo mkwanja wake ndipo Lolilo akaamuwa kumsaka kwa udi na uvumba ampe gari lake bila hivo amrudishie pesa yake,na uhusiano uendelee vizuri.
Inasemekana Lolilo alilirejesha gari hilo mikononi mwake huku akisubiri Producer huyo ammalizie pesa yake,fahamu kuwa hapakuwepo kwa taarifa za kweli kuhusu kiwango ambacho walicho kuwa wamepatana na Producer huyo huku ikidaiwa kuwa kitita cha pesa millioni mbili na zaidi ndiyo ilikuwa mapatano ya kulinunuwa gari hilo aina ya Toyota Corona.











TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi