Leo
nataka tujadili na kuulizana kuhusu suala hili, maana nimekuwa niiskia
watu wengi wanaliongelea kwa mitazamo tofauti, kwenu nyie mliokuwa
katika ndoa na mahusiano ya muda mrefu, mnaonaje dhana hii ya map#nzi ya
dhati na mazoea.
MTAZAMO WANGU.
Binafsi, napenda niseme haya:- Miongoni mwa map#nzi ya dhati na matamu hujengwa na mazoea baina ya wapendanao, Mke na Mume wanapozoeana na Kufahamiana, kunakuwa na Uhuru baina ya Wapendanao hawa, Uhuru huu ukitumiwa vizuri kwa kuzingatia Heshima na Mipaka, wanandoa hawa wanakuwa kama ndugu, kitu kimoja au mwili mmoja.
Na ndio maana ikitokea wanandoa wamepata bahati ya kuoana bila kufahamiana au kujuana mwanzoni kunakuwa na maisha ya ukimya na uoga hasa kwa mwanamke, lakini kadri anavyozidi kuishi na mumewe, humzoea na kumpenda zaidi.
Pia kimaumbile, map#nzi ya mwanamke huja na kuongezeka baada ya kumzoea na kuishi muda mrefu na Mumewe au Mp#nziwe.
Kwa kupitia hoja hizo, natetea wale wenzangu na mimi tunaosema kwamba map#nzi ya dhati yanajengeka na mazoea, lakini mazoea hayo yawe yanazingatia heshima na uhuru wenye mipaka.
Je wewe Mp#nzi Msomaji, unaonaje...??? Nakaribisha Maoni......
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!