Siku ya Ijumaa ilikuwa ni moja wapo mwa siku ambazo Pierra Makena alimaarufu kama DJ PIERRA kutoka Kenya hatoweza kuisahau,DJ Pierra alituwa hapa nchini kama mara yake ya pili huku akiwa amekuja hapa nchini kwa dili la show akiwa kama DJ.
Dj Pierra alituwa hapa nchini siku ya Ijumaa kwenye mida ya saa kumi na mbili kamili majira ya Bujumbura kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bujumbura.
Kuwasili kwa DJ Pierra kulionekana kutokea tatizo la walio husika kumleta kuchelewa kuja kumpokea na sisi tulimkuta akijiikalia chini ya mti akipata hewa mwanana akisubiri waje kumchukuwa...Ilipo fika mida ya saa kumi na mbilli na robo wahusika walikuwa tayari wamesha wasili kuja kumpokea.
Dj Pierra ni mwanamke hodari sana na anae ijali kazi yake na ambae anaipenda sana kazi yake japo angali mchanga kwenye kazi hii ya u Dj akiwa na myaka miwili ameianza kazi hiyo kwa mujibu kwa yale aliyo yasema kwenye mahojiano na mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru kutoka kwenye Redio na Tv ya Rema.
Alionekana kuwa na furaha sana kuingia tena Burundi kwa mara ya pili huku akiwa kwenye dili lile lile la u DJ.
Dj Pierra alionekana kuwa mwenye utani sana na mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru huku akimwambia toka wangali kwenye uwanja wa ndege kuwa amekuja kumtafuta mwanaume wa Burundi wakumuowa...Dj Pierra "Nataka mwanaume wa Burundi mwanzo nilikuja kikazi ila sasa nakuja kumtafuta mwanaume wakuniowa namtaka mwanaume wa Burundi...."
Kwa mara nyingine tena Dj Pierra alikuja chini ya promota mkubwa namzungumzia Dani Odiambo nduguye Mkenya mwenye maikazi yake hapa nchini na anae fanyia kazi zake kwa sasa hapa.
DJ Pierra alikuwa kama Mgeni muheshimiwa alie kuwa ameletwa kwa kuwapa watu burudani kwenye usiku mnene wa kukatika with Dj Pierra kwenye club moja ambayo bado ni mpya mpya yenye mvuto wa kipekee na inayo patikana chini ya udongo kwenye Hotel Panoramique ambayo moja mwa hoteli kubwa hapa Bujumbura na yenye mazingira ya kipeke.
Ilipo fika kwenye mida ya saa moja hivo usiku Dj Pierra aliweza kufanya mahojiano na vyombo vya habari kwenye Hotel hiyo Panoramique Hotel punde tuu baada yakutoka kwenye uwanja wa ndege.
Kwenya usiku huo ambao ulikuwa ni usiku wa kifakhari watu waheshimiwa walikuwa walikuwa wamtengewa sehemu yao ya heshma na huku ngozi za kizungu zilionekana kuzid
Ilipo fika saa sita za usiku muziki mnene kutoka kwa ma Dj wa kwenye club hiyo ambayo ni CELEXON CLUB walianza kuwapa watu utamuu na kuwachangamsha kwa muziki wa kizungu na waki magharibi mwa Africa.
Ilipo fika mida ya saaba watu walianza kupandwa na muzuka zaidi nakuanza kuruka ruka ambapo star wa "Jigijigiweyi" Mr Happy Famba ama Mzee wa Pesa,Mtaliban,Mzee wa Kuvunja kama anavyoo jiita alionekana kunogewa na Mixing kali kali za Dj Pierra...
Wakali kadhaa kutoka hapa nchini kama Fizzo alionekana kuja kupata Burudani japo dakika chache aliondoka
Dj Pierra alituwa hapa nchini siku ya Ijumaa kwenye mida ya saa kumi na mbili kamili majira ya Bujumbura kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bujumbura.
Mwanahabari Ismail Niyonkuru akiwa kwenye Interview na Dj Pierra uwanja wa ndege punde akiwasili |
Dj Pierra ni mwanamke hodari sana na anae ijali kazi yake na ambae anaipenda sana kazi yake japo angali mchanga kwenye kazi hii ya u Dj akiwa na myaka miwili ameianza kazi hiyo kwa mujibu kwa yale aliyo yasema kwenye mahojiano na mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru kutoka kwenye Redio na Tv ya Rema.
Alionekana kuwa na furaha sana kuingia tena Burundi kwa mara ya pili huku akiwa kwenye dili lile lile la u DJ.
Dj Pierra alionekana kuwa mwenye utani sana na mwanahabari Mh Ismail Niyonkuru huku akimwambia toka wangali kwenye uwanja wa ndege kuwa amekuja kumtafuta mwanaume wa Burundi wakumuowa...Dj Pierra "Nataka mwanaume wa Burundi mwanzo nilikuja kikazi ila sasa nakuja kumtafuta mwanaume wakuniowa namtaka mwanaume wa Burundi...."
Kwa mara nyingine tena Dj Pierra alikuja chini ya promota mkubwa namzungumzia Dani Odiambo nduguye Mkenya mwenye maikazi yake hapa nchini na anae fanyia kazi zake kwa sasa hapa.
DJ Pierra alikuwa kama Mgeni muheshimiwa alie kuwa ameletwa kwa kuwapa watu burudani kwenye usiku mnene wa kukatika with Dj Pierra kwenye club moja ambayo bado ni mpya mpya yenye mvuto wa kipekee na inayo patikana chini ya udongo kwenye Hotel Panoramique ambayo moja mwa hoteli kubwa hapa Bujumbura na yenye mazingira ya kipeke.
Ilipo fika kwenye mida ya saa moja hivo usiku Dj Pierra aliweza kufanya mahojiano na vyombo vya habari kwenye Hotel hiyo Panoramique Hotel punde tuu baada yakutoka kwenye uwanja wa ndege.
Kwenya usiku huo ambao ulikuwa ni usiku wa kifakhari watu waheshimiwa walikuwa walikuwa wamtengewa sehemu yao ya heshma na huku ngozi za kizungu zilionekana kuzid
Happy Famba,Fizzo, |
Akijibu maswali ya wanahabari |
Watangazaji walio kuja kwenye mahojiano kumuhoji |
Ilipo fika saa sita za usiku muziki mnene kutoka kwa ma Dj wa kwenye club hiyo ambayo ni CELEXON CLUB walianza kuwapa watu utamuu na kuwachangamsha kwa muziki wa kizungu na waki magharibi mwa Africa.
Ilipo fika mida ya saaba watu walianza kupandwa na muzuka zaidi nakuanza kuruka ruka ambapo star wa "Jigijigiweyi" Mr Happy Famba ama Mzee wa Pesa,Mtaliban,Mzee wa Kuvunja kama anavyoo jiita alionekana kunogewa na Mixing kali kali za Dj Pierra...
Wakali kadhaa kutoka hapa nchini kama Fizzo alionekana kuja kupata Burudani japo dakika chache aliondoka
Mc Benny |
Akirekebisha vyombo vyakee |
Dj Pierra akiichanga miziki yakee |
Dj Pierra akiwa kwenye mixing zakeee |
Happy Famba akinogewa na Mixing ya Dj Pierra |
Dj Pierra akila pozii |
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!