Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , » KAMA ULIKUWA HAUFAHAMU HIKI NDICHO ALICHO KIANDIKA MWANAMUZIKI KIDUMU KUTOKA BURUNDI KUHUSIANA NA MVUA KALI ILIYO FANYA MAAJABU

KAMA ULIKUWA HAUFAHAMU HIKI NDICHO ALICHO KIANDIKA MWANAMUZIKI KIDUMU KUTOKA BURUNDI KUHUSIANA NA MVUA KALI ILIYO FANYA MAAJABU

Written By Unknown on Wednesday, 12 February 2014 | Wednesday, February 12, 2014

Kweli adhabu ya Mungu ni mbaya na ikija inakuja na inawaacha kwenye maswali mengi huku maswali hayo mtasalia mkiajiuliza pasipo na majibu kwa sababu hamtokuwa na wa kuwajibu maswali hayo kwa kuya ambae angeliwajibu maswali hayo ndie mwenye uwamuzi wa kila kitu akisema kuwa na kinakuwa bila kipengamizi wala bila kuulizwa.
Mungu Baba anasiri kubwa sana ukilinganisha na adhabu zake vile anavyo adhibu...
Ni siku chache tuu Burundi kutoka kwenye hali nzito na yenye ndanimo matatizo makubwa yasiyo na kipimo baada ya kuunguliwa na soko kuu la Bujumbura.
Sasa mvuwa nayo ukali usiyo na kifanii yenye zoruba kali imefanya yake...imepituwa vyote na watu huku majumba ya watu ma elfu na ma elfu yakiripotiwa kuharibika,mabarabara yakiharibika kwa kiasi kikubwaa zaidi...
Hayo...mafupi kilicho kuja kuumiza warundi na wasio kuwa warundi ila wenye nyoyo za huruma ni hidadi ya watu walio kufa inasemekana watu wasio punguwa mia wamefariki dunia huku wengi wao wakiwa watoto wenye umri mdogo...
Wanamuziki kadhaa wameonekana kuwa na uchungu kwa hali hii huku kila mmoja akitowa yake kuhusiana na msaada vile watakavyo wasaidia wathirika na hiyo mvua kali
Baadhi ya barabara za miji ya Bujumbura zilivyo haribika
Maiti za watoto zilizo okotwa baada ya mvuwa kumalizika

Maiti zilizo okotwa
Rais Nkurunziza alipo kuwa makaburini kushirikiana na walio kosa wao
Jeneza za maiti zikiletwa kuzikwa huku nyingi zikiwa za watoto wa dogo
Baada ya mvuwa kumalizika hivi ndo vile barabara zilivyo haribika
Rais akiweka shahada ya mauwa kwenye kaburi za walio zikwa
Ndugu,jamaa,wazazi wakilia kwa wanao walio fariki dunia
Ma balozi kadhaa walikuja kuonesha moyo wao wa upendo

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi