Mapema hapo juzi,
kuna taarifa zilienea kwamba Rais Obama na Beyonce kuwa wana mahusiano.
Gazeti moja la Ufaransa lilisema habari kamili zitatolewa na kwenye
gazeti la Washington post kesho yake ambayo ni jana.
Ila imekuja onekana kwamba hicho kitu sio cha kweli na hakikutoka na hakitakuja kutoka tena, hii ni kwa mujibu wa US Weekly.
Ila imekuja onekana kwamba hicho kitu sio cha kweli na hakikutoka na hakitakuja kutoka tena, hii ni kwa mujibu wa US Weekly.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!